Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.

Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130

Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni 3.905 sawa na asilimia 49.58%)

Kwahiyo hapa duniani, kwa kila wanawake 100 wanaozaliwa kuna wanaume 106 wanazaliwa. Wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa mujibu wa takwimu zinazotambulika.

Wanaume wakiamua kuoa wake wanne kama Quran inavyoruhusu basi itabidi hao wanawake wawe wa shirikisho kwa wanaume. Hii haikubaliki katika jamii nyingi ulimwenguni.

Allah atakuwa alitoa agizo hili bila kuifahamu dunia maana tungetegemea wanawake wawe wengi sana kuliko wanaume. Tunaweza kuhitimisha kwamba hakuifahamu dunia.
 
Hawajui kuwa wanazidi kuitangaza dini na kuleta 'curiosity' miongoni mwa watu kuifuatilia zaidi na hatimaye kusilimu.
IMG_20221105_111036.jpg
 
Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.

Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130

Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni 3.905 sawa na asilimia 49.58%)

Kwahiyo hapa duniani, kwa kila wanawake 100 wanaozaliwa kuna wanaume 106 wanazaliwa. Wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa mujibu wa takwimu zinazotambulika.

Wanaume wakiamua kuoa wake wanne kama Quran inavyoruhusu basi itabidi hao wanawake wawe wa shirikisho kwa wanaume. Hii haikubaliki katika jamii nyingi ulimwenguni.

Allah atakuwa alitoa agizo hili bila kuifahamu dunia maana tungetegemea wanawake wawe wengi sana kuliko wanaume. Tunaweza kuhitimisha kwamba hakuifahamu dunia.
Likowazi wanaozaliwa wengi ni Wanaume kuliko wanawake
Ila Wanaume eligible ni wachache nikimaanisha Kuna kundi kubwa la Wanaume hawana nguvu za kiume, Kuna wanaume wanauraibu wa madawa ya kulevya na walevi chakari
 
Mbona wapo pia wislamu wanakimbia uislamu wanaenda dini nyingine
1.Kwani nimepinga ?
2.Shida iko wapi ?

Mimi nimezungumzia njia ya watu kuzungumzia vibaya uislamu ndio imefanya wengi wasilimu tokea miaka ya mwanzo ya Uislamu , wengine walipata tetesi kuwa ambazo zilisambazwa na washirikina wa Makka kwa mtu anayedai utume ni kichaa ,watu wakapata shauku ya kumuona na kumsikiliza mtu anyedaiwa hivyo hatimaye wakabaini ukweli na kusilimu.

Na nimesoma jarida la Newsweek la Marekani linasema hivyo hivyo watu wengi barani ulaya wana ile curiosity ya kutaka kuujua uislamu kutokana na vivumishi vilivyopo na hatimaye wanasilimu.

Nb: Ulichokiandika ni kinyume na mimi nilichokiandika, mimi sijasema wakiristo pekee ndio wanajinga na Uislamu bali nimezungumzia njia ya kuchafua ndio inaleta shauku ya kujua hatimaye kubadili mitazamo.
 
Hata huko uarabuni wengi wangekimbia uislamu, Ila ulikimbia uislamu unafungwa au kuuliwa
 
Hapa tutarajie waislam kuukataa uhalisia kwamba aliyeweka hilo agizo hawezi kuwa ndio Mungu muumba wa mbingu na dunia. Wataishia kutetea na kutukana.
Huwa hawawezi kujenga hoja wanakimbilia kutukana na kukashifu ukristo badala ya kutoa maelezo ya kumsaidia mtu aifahamu imani yao.

Hapa ni dhahiri kwamba Allah alikuwa hajui chochote kuhusu dunia ndio maana akaandika jambo lisilokuwa na uhalisia.
 
Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia.

Tanzania (mwaka 2022)
Wanawake 31,687,990
Wanaume 30,053,130

Duniani (mwaka 2021)
Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%)
Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni 3.905 sawa na asilimia 49.58%)

Kwahiyo hapa duniani, kwa kila wanawake 100 wanaozaliwa kuna wanaume 106 wanazaliwa. Wanaume ni wengi kuliko wanawake kwa mujibu wa takwimu zinazotambulika.

Wanaume wakiamua kuoa wake wanne kama Quran inavyoruhusu basi itabidi hao wanawake wawe wa shirikisho kwa wanaume. Hii haikubaliki katika jamii nyingi ulimwenguni.

Allah atakuwa alitoa agizo hili bila kuifahamu dunia maana tungetegemea wanawake wawe wengi sana kuliko wanaume. Tunaweza kuhitimisha kwamba hakuifahamu dunia.
Bwana Championship una hoja dhalili sana.

Ukisoma Quran vizuri Allah hajalazimisha mtu kuoa wake wanne, na kwakuwa hajalazimishwa mtu hivyo usitarajie kuona kila mtu anaoa wanne.

Na kwa watakaofanya hivyo wanapewa sharti la kuwa na uwezo wa kufanya uadilifu baina ya wakeze.

Ningependa kujadiliana nawe zaidi kuhusu dini zetu ila wakati mwingine tafadhali njoo na hoja zenye mantiki na jitahidi uwe ‘objective’ ninakuona unazo akili za kujadili ila kuna mambo machache yanakuangusha.

Na kwa kuongezea ni wapi kwenye biblia imeamrishwa watu waoe mke mmoja tu? Execute

Nipe nukuu.
 
Agizo la biblia la mke mmoja kwa mwanaume mmoja linaonekana kuwa sahihi zaidi kwa takwimu hizi.
Kwa upande wako ila tambua kuoa wanawake kuanzia wawili sio kitoto kuanzia kuwa na uchumi mzuri wa kutoa huduma..hyo ni option ya kubalance Kuna ambao hawana uwezo kabisa hata wa kuwa na mmoja kutokana na changamoto tofauti ..ukiangalia kibongobongo halitekelezwi kwa matakwa ya kidini ila linfanyika kwa misingi ya kimila fuatilia ndo utajua..yaani watu wa dini wengi hawana wake wawili ila wale wanye Mila za ivyo ndo wanatekeleza kwa kiasi kikubwa nenda usukumani ukaone.
 
Likowazi wanaozaliwa wengi ni Wanaume kuliko wanawake
Ila Wanaume eligible ni wachache nikimaanisha Kuna kundi kubwa la Wanaume hawana nguvu za kiume, Kuna wanaume wanauraibu wa madawa ya kulevya na walevi chakari
Mbona kila mtaa Kuna single mothers na wanawake bikira hawapo?
-Maana kiashiria cha Kukosekana kwa wanaume RIJALI ni uwepo wa wanawake mabikira wengi mitaani ( Lakini, hawapo).
Hii Inaonesha kuwa wanawake walio tayari kuolewa hawatosherezi( wamejaa wanafunzi wa msingi, secondary, na watoto chini ya miaka 5).
Kwahiyo, wazo la kuoa zaidi ya mke mmoja kwa wanaume wote halitekelezeki, isipokuwa kwa baadhi na ni baadhi ya nchi.
 
Muwe mna soma imani zenu vyema msikurupuke kutukana na kuponda dini za watu. Hivi mkiulizwa kwenye bible wapi mmekatazwa kuoa wake wawili, mtaonesha aya gani.

Natoa changamoto kwayoyote mwenye kuweza kunieleimisha na kunipa maarifa aje na aya ama mstari kutoka kitabu chochote cha kikristu unahamasisha kuoa mke mmoja tuu.

Binafsi baada ya kujifunza nimekutana na mistari hii ambayo inahamasisha na kuonesha mfano wa wanaume kuoa wake zaidi ua mmoja.

Wamegharibi wamaeugharibu ukristu kwa kujaza maadili na utamaduni wao na bahati mbaya waafrika nao wamewafata kama walivyo kwa kujiita wastaarabu.

Hapa chini naweka alama ambazo zinahamasisha wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja kutoka katika bible ya King James.

Bible Verses About Polygamy

Bible verses related to Polygamy from the King James Version (KJV) by Relevance - Sort By Book Order.

Exodus 21:10 - If he take him another wife; her food, her raiment, and her duty of marriage, shall he not diminish.

Matthew 25:1-46 - Then shall the kingdom of heaven be likened unto ten virgins, which took their lamps, and went forth to meet the bridegroom. (Read More...)

Deuteronomy 21:15-17 - If a man have two wives, one beloved, and another hated, and they have born him children, both the beloved and the hated; and if the firstborn son be hers that was hated: (Read More...)

2 Chronicles 24:1-3 - Joash was seven years old when he began to reign, and he reigned forty years in Jerusalem. His mother's name also was Zibiah of Beersheba. (Read More...)

Isaiah 4:1 - And in that day seven women shall take hold of one man, saying, We will eat our own bread, and wear our own apparel: only let us be called by thy name, to take away our reproach.

2 Samuel 12:8 - And I gave thee thy master's house, and thy master's wives into thy bosom, and gave thee the house of Israel and of Judah; and if that had been too little, I would moreover have given unto thee such and such things.

Judges 8:30 - And Gideon had threescore and ten sons of his body begotten: for he had many wives.

2 Chronicles 13:21 - But Abijah waxed mighty, and married fourteen wives, and begat twenty and two sons, and sixteen daughters.

Genesis 4:19 - And Lamech took unto him two wives: the name of the one was Adah, and the name of the other Zillah.

1 Chronicles 3:1-9 - Now these were the sons of David, which were born unto him in Hebron; the firstborn Amnon, of Ahinoam the Jezreelitess; the second Daniel, of Abigail the Carmelitess: (Read More...)

2 Chronicles 11:21 - And Rehoboam loved Maachah the daughter of Absalom above all his wives and his concubines: (for he took eighteen wives, and threescore concubines; and begat twenty and eight sons, and threescore daughters.)

Genesis 30:9 - When Leah saw that she had left bearing, she took Zilpah her maid, and gave her Jacob to wife.

2 Chronicles 24:3 - And Jehoiada took for him two wives; and he begat sons and daughters.

1 Chronicles 4:5 - And Ashur the father of Tekoa had two wives, Helah and Naarah.

Ezekiel 23:1-4 - The word of the LORD came again unto me, saying, (Read More...)

Genesis 30:4 - And she gave him Bilhah her handmaid to wife: and Jacob went in unto her.

2 Samuel 5:13 - And David took him more concubines and wives out of Jerusalem, after he was come from Hebron: and there were yet sons and daughters born to David.

1 Samuel 1:1-2 - Now there was a certain man of Ramathaimzophim, of mount Ephraim, and his name was Elkanah, the son of Jeroham, the son of Elihu, the son of Tohu, the son of Zuph, an Ephrathite: (Read More...)

1 Corinthians 7:1-5 - Now concerning the things whereof ye wrote unto me: It is good for a man not to touch a woman. (Read More...)

Numbers 12:1 - And Miriam and Aaron spake against Moses because of the Ethiopian woman whom he had married: for he had married an Ethiopian woman.

Deuteronomy 25:5-10 - If brethren dwell together, and one of them die, and have no child, the wife of the dead shall not marry without unto a stranger: her husband's brother shall go in unto her, and take her to him to wife, and perform the duty of an husband's brother unto her. (Read More...)

1 Kings 11:1-4 - But king Solomon loved many strange women, together with the daughter of Pharaoh, women of the Moabites, Ammonites, Edomites, Zidonians, and Hittites; (Read More...)

Song of Solomon 6:8 - There are threescore queens, and fourscore concubines, and virgins without number.

Deuteronomy 17:14-20 - When thou art come unto the land which the LORD thy God giveth thee, and shalt possess it, and shalt dwell therein, and shalt say, I will set a king over me, like as all the nations that are about me; (Read More...)

Titus 1:5-8 - For this cause left I thee in Crete, that thou shouldest set in order the things that are wanting, and ordain elders in every city, as I had appointed thee: (Read More...)
 
Hoja nzuri sana mkuu
 
Unapata faida gani kuleta takwimu za uongo wewe mvaa rozari ....
Hizo data zako za kuokota Makanyagio Ni fake .
 
Back
Top Bottom