Kwa tamaa na Uchu wa Madaraka Lissu amejidhulumu nafasi ya Uongozi, Pia amejikosesha fursa ya wazi kugombea Urais kupitia CHADEMA

Kwa tamaa na Uchu wa Madaraka Lissu amejidhulumu nafasi ya Uongozi, Pia amejikosesha fursa ya wazi kugombea Urais kupitia CHADEMA

Nadhani lissu ameshajua rasmi kwamba wanachadema hawampendi

Na sasa a Adili tu narrative yake…. Maybe hata waliompiga risasi walikua combo ya watu including wanachadema

Sio Kwa chuki hizi
 
Ccm wanahaha kila aibu wataisema lakni ndio kawaida ya mwanamke malaya haachi kuandika vijembe. Lissu kamati hapohapo.
Ccm anahaha Vipi wakati Mnamalizana wenyewe?

Tuliona Kwa Chacha, zitto, Kitila, kafulila etc

The problem mnayo hapo na atawauza hadi wajukuu zenu
 
Haahaa duh, Dunia Haina haki, Yaani aliyekaa madarakani miaka 0 na aliyekaa madarakani miaka 20 nani ana tamaa ya madaraka?
gentlemn,
elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau,

maana chairman mbowe pia alieleza bayana jana,

ni nani na ni yupi anae gombea uongozi chadema taifa, ambae hakukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 20?

ni vizuri ukamtaja ili hatimae wasioelewa mambo haya waweze kuyafahamu vyema ili kudhibiti dhana ya pupa na kukurupuka inayoiandama jamii kwa sasa :pedroP:
 
Chimbo la kupiga hela la Mbowe na machawa wake wanaanza kuhaha! Mbowe anachoangalia ni kupiga hela za Ruzuku na za upinde
uko smart sana gentleman,

inaonekana ni mtu wa kipekee mno,

yaani kumbe wewe hupendi kabisa kupiga hela?:pedroP:
 
Kukaa Sana madarakani na kutaka kuendelea kugombea ni uchu wa madaraka
kuacha nafasi moja, na kutamani nyingine ni tamaa ya vyeo na madaraka..

ni jambo baya sana katika uongozi.

Yaani asubuhi unatangaza kugombea umakamu na jioni unabadili unatamani uenyekiti kamaili? hii si ndiyo ile tamaa ya mzee fisi kwenye siasa sasa? :pedroP:
 
Haya mahaba makubwa ya ghafla ya chawa na uvccm kwa chadema yanatisha na kufurahisha, ghafla mwashambwa na group zima la chawa linaitakia chadema mema, kweli zama mpya hizi. Ila adui yako akikupenda unapaswa kujitazama mara nyingi kidogo!

Nyuzi bin nyuzi yani bandika bandua kila ndani la lisaa za kuitakia chadema uchaguzi mwema na kuchagua mwenyekiti anayefaa sana😀!
Gentleman,
ni muhimu sana wataalamu na wabobevu waandamizi katika demokrasia na na masuala ya vyama vya siasa, wakapewa fursa na nafasi ya kufanya uchaguzi, kufafanua na kueleza hali halisi ya yanayojiri katika hatua mbalimbali, na mwenendo wa wagombea uongozi wa kitaifa ndani ya chama hicho.

Ni muhimu sana wakawajibika kwa faida ya wadau na familia hii kubwa mno ya JF.

Jambo la maana,
ni kufuatilia kwa makini na kutilia maanani chambuzi hizi za kitaalamu, ili kuongeza ufahamu na uelewa juu ya mambo haya,

Ni vizuri kwenda kwenye uchaguzi na moyo wa msamaha na maridhiano. Kampeni zifanyike kwa upendo na sio chuki.

Je,
kwa kufanya hivyo kuna ubaya wowote gentleman?🐒
 
Haya mkuu nashukuru kwa ufafanuzi so Mtaalamu mbobevu mwenyewe mwashambwa? 😀
 
Mkuu ndio akili za vijana wa sasa, hawa ndio akili kama za ndugai, akiwa speaker alisema hatake asitake tutamlazimisha magufuri tuondoe ukomo wa madaraka, wakasahau kama kina mzee mwinyi, ben na JK nao wangesema waondoe ukomo hata huyo magufuri wao asingekuja kuwa rais wa nchi hii kamwe
kwahiyo gentleman,
mnapeana moyo tu ama kuna jengine la maana wataka kusema?

elezea tu wadau usiogope 🐒
 
Si mlikuwa mnasema upinzani umekufa? Kipele kipo kwenye mwili wa mwenzio wewe chakuwashia nini? L
Gentleman,
akina nani hao walisema hivyo na wapi?

halafu nani ana kipele kinachowasha, na kipo sehemu gani mwilini mwake?🐒
 
Mada hasi kwa lissu tumezichoka
unamaanisha kuna waasi dhidi ya Lisu gentleman?

hivi kwa mfano,
miongoni mwa wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema 1200, Lisu anaweza kuungwa mkono na wajumbe wangapi kati yao, na kutoka maeneo gani miongoni mwa kanda 10 za kiutawala chadema?

kwa tathmini yako ya haraka haraka gentleman 🐒
 
Haya mkuu nashukuru kwa ufafanuzi so Mtaalamu mbobevu mwenyewe mwashambwa? 😀
zingatia maelezo, uchambuzi, ufafanuzi, tathmini, mawaidha na hoja muhimu anazoibua kuhusu mambo mbalimbali kitaifa na kimataifa,

itakusaiadia sana gentleman 🐒
 
Ccm anahaha Vipi wakati Mnamalizana wenyewe?

Tuliona Kwa Chacha, zitto, Kitila, kafulila etc

The problem mnayo hapo na atawauza hadi wajukuu zenu
Gentleman,
you are pressing and hitting hard aise!

dah! 🤣
 
unamaanisha kuna waasi dhidi ya Lisu gentleman?

hivi kwa mfano,
miongoni mwa wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema 1200, Lisu anaweza kuungwa mkono na wajumbe wangapi kati yao, na kutoka maeneo gani miongoni mwa kanda 10 za kiutawala chadema?

kwa tathmini yako ya haraka haraka gentleman
 
Nadhani lissu ameshajua rasmi kwamba wanachadema hawampendi

Na sasa a Adili tu narrative yake…. Maybe hata waliompiga risasi walikua combo ya watu including wanachadema

Sio Kwa chuki hizi
kuna uzi,
niliutupia humu jana,
nilisema hata walio mjaza misifa na kumpamba kichwa aachane na umakamu uenyekiti na kudandia uenyekiti ni miongoni mwa wanachadema wajanja ili kumpoteza kisayansi kwenye ramani...

hata anaodai,
kwamba wanampatia taarifa ati ajiongezee ulinzi kuna watu wanalenga kumdhuru halafu wamsingizie chairman Mbowe, ni wanachadema wenyewe ili tu atishike ajawe taharuki na tahadhari na pengine hata akatoroka nchi mapema, kumbe hakuna vitisho hivyo kabisa..

ni sayansi ya siasa tu 🐒
 
ni sayansi ya siasa tu
 
Gentleman,
zingatia mawaidha ya maana na mujarabu sana hapo juu, na si vinginevyo,

na kwakweli itakusaidia sana kuliko gubu 🐒
Hakuna mawaidha hapo hujawahi kumtakia mwana chadema mema. Leo ndio unampigia kampeni mbowe. Unafiki na uzandiki.
Screenshot_20241218_213742.jpg
 
Back
Top Bottom