Kwa tamaa na Uchu wa Madaraka Lissu amejidhulumu nafasi ya Uongozi, Pia amejikosesha fursa ya wazi kugombea Urais kupitia CHADEMA

Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu umuhimu wa kua na subra na kutathmini mambo kwa kina na umakini mkubwa kabla ya kufanya maamuzi na kuchukua hatua kuelekea mbele katika utekelezaji wa maamuzi yako, vinginevyo maamuzi yako yanaweza kua ni kujifungia fursa na kuzika ndoto zako mwenyewe.

Lakini pia,
wanasiasa vijana wasomi na wadau wa siasa humu nchini, wanapata fursa ya kipekee sana, kujionea kinagaubaga, mchana kweupe athari za maamuzi ya pupa, tamaa, makelele na mdomo, kwenye mambo muhimu ambayo yanahitaji mahesabu na tathmini ya kina kabla ya kufanya uamuzi.

Uchaguzi huu wa chadema Taifa, ni shule na darasa muhimu sana kwa watu wenye ndoto, matarajio na mipango, mathalani ya kua viongozi wakubwa wa kitaifa na kimataifa. Pamoja na mambo mengine, athari zitakazowakumba baadhi ya wagombea uongozi, zinafaa kutufundisha kuwa watulivu, kutumia hekima na busara kuamua, lakini pia kua sharp sana, katika kuasses faida, matokeo na hasara za uamuzi utakachukua.

Kujinyima fursa kwa uamuzi wa pupa ni sawa na kujidhulumu mwenyewe kwa kujidhuru.

Epuka tamaa na uchu wa madaraka. Usifanye maamuzi kwa hasira. Jihadhari na washauri wabaya.

Chadema inakwenda kupata fursa ya kumpendekeza na kumchagua mgombea urasi na mpeperusha bendera wake urais 2025, ikiwa na umoja wa kiwango cha juu sana licha ya kwamba hatashinda nafasi hiyo ya ukuu wa nchi. Hapatakua na makelele wala mdomo tena chadema 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwenye somo la logic negation of negation is true

Kama ajikosesha fursa ya wenyekiti na uraisi ya nini wabaya wake kumlaumu

Nadhani mnatakiwa ku shagilia
 
Ccm imejaa mapumbavu toka uhuru hayajachagua mwenyekiti Bali ni ndio mzee kama mazezeta angalieni uchaguz kwenye vyama vyenye akili wajinga nyie.
 
kitaalamu na kibobevu zaidi,
hairuhusiwi mtu kupata maumivu kwasababu ya maamuzi yake ya pupa na mabaya, japo majuto yapo.

ni muhimu zaidi kutumia mistakes katika maamuzi ya kisiasa na kuzafanya kua fursa ya kufanya vizuri zaidi wakati mwingine hapo hapo kwenye siasa,lakini pia kwenye maeneo mengine muhimu.

hakuna haja ya kuumia hata kidogo, sawa gentleman? :pedroP:
Binti mabandiko meengi ya kipuuzi, jukwwani umeolewa na una unalea watoto wew??
 
Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu umuhimu wa kua na subra na kutathmini mambo kwa kina na umakini mkubwa kabla ya kufanya maamuzi na kuchukua hatua kuelekea mbele katika utekelezaji wa maamuzi yako, vinginevyo maamuzi yako yanaweza kua ni kujifungia fursa na kuzika ndoto zako mwenyewe.

Lakini pia,
wanasiasa vijana wasomi na wadau wa siasa humu nchini, wanapata fursa ya kipekee sana, kujionea kinagaubaga, mchana kweupe athari za maamuzi ya pupa, tamaa, makelele na mdomo, kwenye mambo muhimu ambayo yanahitaji mahesabu na tathmini ya kina kabla ya kufanya uamuzi.

Uchaguzi huu wa chadema Taifa, ni shule na darasa muhimu sana kwa watu wenye ndoto, matarajio na mipango, mathalani ya kua viongozi wakubwa wa kitaifa na kimataifa. Pamoja na mambo mengine, athari zitakazowakumba baadhi ya wagombea uongozi, zinafaa kutufundisha kuwa watulivu, kutumia hekima na busara kuamua, lakini pia kua sharp sana, katika kuasses faida, matokeo na hasara za uamuzi utakachukua.

Kujinyima fursa kwa uamuzi wa pupa ni sawa na kujidhulumu mwenyewe kwa kujidhuru.

Epuka tamaa na uchu wa madaraka. Usifanye maamuzi kwa hasira. Jihadhari na washauri wabaya.

Chadema inakwenda kupata fursa ya kumpendekeza na kumchagua mgombea urasi na mpeperusha bendera wake urais 2025, ikiwa na umoja wa kiwango cha juu sana licha ya kwamba hatashinda nafasi hiyo ya ukuu wa nchi. Hapatakua na makelele wala mdomo tena chadema 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hizi ngonjera kumbe bado zinaendelea! Hii ni series ya ngapi mkuu
 
nadhani kabla ya pasaka main character atarudi kwa wafadhili wake ng'ambo kwa fedheha kubwa sana maskini dah, tamaaa?🙌🐒
 
Ccm imejaa mapumbavu toka uhuru hayajachagua mwenyekiti Bali ni ndio mzee kama mazezeta angalieni uchaguz kwenye vyama vyenye akili wajinga nyie.
sasa muerevu mbona huna pwainti una mihemko tu 🤣
 
Binti mabandiko meengi ya kipuuzi, jukwwani umeolewa na una unalea watoto wew??
unt maimuna huwezi hata kureply kwa mawazo mapya, wala kuandika bandiko zenye fikra mbadala?🤣

tuliza kichwa maji hiyo,
upate uchambuzi, ufafanuzi na maelezo ya maana kubadilisha kilichopo ndani ya fuvu lako,

usiondoke unt, right?🐒
 
Hakuna mawaidha hapo hujawahi kumtakia mwana chadema mema. Leo ndio unampigia kampeni mbowe. Unafiki na uzandiki.View attachment 3180435
Gentleman,
there is no permanent enemy in politics,

as long as interests are covajing together, politicians can work together.

Remember,
there are two constants in politics, and that ara Interestes and Betreyal 🐒
 
Andika kiswahil mimi sijui lugha nyengine.
 
Gentleman,
there is no permanent enemy in politics,

as long as interests are covajing together, politicians can work together.

Remember,
there are two constants in politics, and that ara Interestes and Betreyal 🐒
Kusikia unafiki ndio huwo umeitukana chadema na mbowe leo hii unajifanya mpikaji.
 
Ni dhahiri Lissu ndio tishio kwa bi ushungi ndio maana ma ccm hayamtaki!
Nitawashangaa wajumbe mkutano mkuu wakimchagua Mbowe badala ya Lissu.
Na hapo ndio itakuwa mwisho wangu wa kuipigia kura CHADEMA
 
Lissu yupo sahihi, wala hana makosa, hasa kwenye chama chenye utaratibu wa kufanya utaratibu wa uchaguzi wa Mwenyekiti. Ni haki yake na siyo mbaya.

And after all It is the right time kwa Mbowe kuachia madaraka kulinda heshima. Ameshakaa madarakani miaka 21. Inatosha, na amefanya mambo mema. Ni muda sahihi sasa wa yeye kuachia ngazi na wala siyo kwa ubaya.
 
Naona unamtetea kibaraka wa ccm mbowe
 
Nadhani lissu ameshajua rasmi kwamba wanachadema hawampendi

Na sasa a Adili tu narrative yake…. Maybe hata waliompiga risasi walikua combo ya watu including wanachadema

Sio Kwa chuki hizi
Hahaha wanachadema Gani hawampenda mkuu? Hizo ni ndoto na uwongo, cheki kura za maoni hapa mtandao I, au weka yako tuone mbowe na lissu nani anahitajika kwa sasa utaona
 
unt maimuna huwezi hata kureply kwa mawazo mapya, wala kuandika bandiko zenye fikra mbadala?🤣

tuliza kichwa maji hiyo,
upate uchambuzi, ufafanuzi na maelezo ya maana kubadilisha kilichopo ndani ya fuvu lako,

usiondoke unt, right?🐒
Wew chawa tu wa Abdul na mama yake nani mwenye akili timamu atakutilia maanani?
 
muerevu hata usiponitilia maanani una faida gani na ulichonacho ni makasiriko na mihemko tu gentleman 🤣
 
Back
Top Bottom