Kwa tangazo hili, nawapongeza sana NMB

Kwa tangazo hili, nawapongeza sana NMB

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.

Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
 
Miaka ya 2011 kuna bank ilifanya hii kitu Dar nadhani walikuwa crdb kama sijakosea
 
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.
Ila wale wa bulky cash wanatakiwa wawe na utaratibu wao
 
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.

Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
Uko nyuma sana mkuu. Wateja wa NBC tumetumia hiyo zaidi ya miaka 10 sasa
 
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.

Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.

Mara zote nimejifunza kukataa hatua Moja nyuma ya technology! Especially when money is involved!
 
haiwezi kukosea inakuhesabia,fedha zako inakuambia kiasi na salio na risit inapewa
Yaani niweke hela mashine iseme sijaweka. Nani shahidi? Bora ATM kutoa isipotoka digital evidence zipo.
 
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.

Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
Cash Accepting ATMs zipo toka 1997 wewe huko Ruangwa umeiona Leo? Ukakimbilia JF
 
Back
Top Bottom