Kwa tangazo hili, nawapongeza sana NMB

Kwa tangazo hili, nawapongeza sana NMB

Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.

Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
Crdb wanazo muda lakini bado watu wana prefer kupitia dirishani maana kama una maburungutu ya pesa somehow ni time consuming
 
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.

Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
Ile bank ya South Africa ilikuwa vizuri sana katika hili kuanzia 2019, ilikuwa unaenda ATNLM unaweka pesa zako anytime....FNB ilifia wapi?
 
Mimi nitajaribu kuanza kutumbukiza 10,000 nikiona mambo yako sawa ndo niakuwa naweka kiasi kikubwa cha fedha.
 
Yani hiyo technology ndo inaingia leo bongo?
Kweli huko ni ulimwengu wa mwisho.
Mkuu nchi inahita reform kwenye sekta zote ila wao wanasiasa wana taka reform kwenye upande wao tu, lakini kiukweli nchi inaongwa na mifumo ya miaka 100 iliyopita kwa nchi za wenzetu, we fikiria kutoa pesa tu kwa mwenye card ya kawaida kwe ATM mwisho milioni moja kwa NMB Bank na Milioni 2 kwa CRDB na ukitaka kutoa zaidi ya hapo uingie ndani, BOT wanatakiwa wabadilishe sheria ili mteja aweze kutoa pesa nyingi mwisho iwe ata milioni 5 kwa siku kwenye ATM kuliko milioni moja kwa siku.
 
Yani hiyo technology ndo inaingia leo bongo?
Kweli huko ni ulimwengu wa mwisho.
Sio kweli kwamba ndio inaingia. Kama umesoma komentis za waliotangulia utaona kuwa iliishaanza tangu miaka wa mwanzoni mwa 2010. Pia ujue, Mkataba wa Rabo Bank kuiendesha NMB pamoja na mambo mengine ilikuwa ni kuleta hii teknolojia. Nafikiri walikuwa bado wanaangalia ufanisi wake. Wabongo bado hatuamini kama pesa yake itakuwa salama kwa kuweka tu kwenye ATM bila kakaratasi ka mhuri mbichi. Lakini taratibu tutazoea kama tulivyozea teknolojia zengine.
 
Back
Top Bottom