Miaka ya 2011 kuna bank ilifanya hii kitu Dar nadhani walikuwa crdb kama sijakoseaJana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.
Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
Ila wale wa bulky cash wanatakiwa wawe na utaratibu waoJana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.
Mwenyewe nakumbuka hii kitu, na nilishawahi kuifanya miaka hiyo pale millennium Tower.Walianza Crdb Mwaka 2013, niliona Crdb Kijitonyama) sijui nini kilitokea
Crdb wali leta hili pia, mimi kwa wakala sipa achi ngo'.Nitaweka tu kwa wakala.
Yap, crdb kaboresha zaidi Kama sio Mwaka Juzi basi ni JanaMwenyewe nakumbuka hii kitu, na nilishawahi kuifanya miaka hiyo pale millennium Tower.
Unaweka mzigo kwenye ATM inaumeza
Uko nyuma sana mkuu. Wateja wa NBC tumetumia hiyo zaidi ya miaka 10 sasaJana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.
Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
Kuna dada mmoja teller mweupe pale sinza mori NNB mjinga sana.Hapo kuna redundancy itapunguza watu hapo kwenye sector ya mabenki na mitandao ya cm sio sehemu ya kufanya kazi
Niyamda sana hii kwenye mabankWalianza Crdb Mwaka 2013, niliona Crdb Kijitonyama) sijui nini kilitokea
Yaani niweke hela mashine iseme sijaweka. Nani shahidi? Bora ATM kutoa isipotoka digital evidence zipo.Crdb wali leta hili pia, mimi kwa wakala sipa achi ngo'.
wasipo Iona hela nita jua vipi kudadadeki 😂
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.
Hili ni jambo jema na lenye kuleta faraja. Nashauri mashine hizi zisambazwe kwa wingi kwenye matawi mengi ili kusiwe na usumbufu wa kuweka fedha kwenye akaunti hasa nyakati za jioni wakati muda wa kazi utakuwa umeisha.
Crdb wali leta hili pia, mimi kwa wakala sipa achi ngo'.
wasipo Iona hela nita jua vipi kudadadeki
Yaani niweke hela mashine iseme sijaweka. Nani shahidi? Bora ATM kutoa isipotoka digital evidence zipo.
Cash Accepting ATMs zipo toka 1997 wewe huko Ruangwa umeiona Leo? Ukakimbilia JFJana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia mashine watakazoweka kwenye matawi yao.