Itategemeana na uwezo wako wa kuelewaKama Msukuma Kuna mda anakuwa na logic kuliko Kabudi, Lipumba na huyu utopolo Dr Abbas Kwa nini tusichague darasa la saba?????
Mleta mada!! Kwa taarifa yako Darasa la saba wengi ndo werevu kuliko hao wenye madegree! Hili ndo ajabu kuu la Tanzania!
Hivi wewe kati ya Mfanyabiashara wa madini Laizer na Mwakyembe wakiongea, Nani unamuelewa kwa haraka na vizuri????