pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania