pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Shindwa pepoPamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
mwana siasa yoyote hua anaongea uongo anachokitaka nyuma ni nafasi tu zingine zote mbwembwe sjui kupigania watuKwani kukiwa na mifumo huru na haki ya uchaguzi inanufaika Chadema? Au inakuwa kwa manufaa ya nani?
HII NCHI NDIO SABABU KWANINI AFRICA HATUWEZI KUUNGANA.KWA MATENDO TUNAYOFANYA KISA KUTAKA "POWER"... KENYA WAKO SAHIHI "NI NCHI YA AJABU" KAMA UKO NA COMMON SENSE UTAONA TANZANIA HAINA UHURU WA KISIASA WALA HAIPO TRANSPARENCY KWA WANANCHI HII KIINI MACHO MBELE YETU TUNAAMBIWA NCHI INA UHURU WA VYAMA VINGI... TOKA 1961 MPAKA LEO NCHI IMEONGOZWA NA MARAISI 6 TUU.. AFU KUNA MTANZANIA KAMA WEWE ANASEMA MUNGU IBARIKI TANZANIA KWA UCHAFU VIONGOZI WENU WANAOUFANYA ... MUNGU AKUSAMEH WEWEPamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
At the end wanasiasa ndiyo wanaongoza watu sasa unataka waongoze kwa kujipachika?mwana siasa yoyote hua anaongea uongo anachokitaka nyuma ni nafasi tu zingine zote mbwembwe sjui kupigania watu
kwan Mwangi alipofika tanzania alisema Nini kuhusu Samia ndo tuseme ametekwa na kuteswa Kwa kumdhalilisha samia??Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
Haujalielewa swali langu au?mwana siasa yoyote hua anaongea uongo anachokitaka nyuma ni nafasi tu zingine zote mbwembwe sjui kupigania watu
Rais anajidhalilisha mwenyewe.Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
Kwahiyo hata huyo mama anachoongea sio kulinda nchi, ni analinda tu nafasi yake. Umeiweka vizuri.mwana siasa yoyote hua anaongea uongo anachokitaka nyuma ni nafasi tu zingine zote mbwembwe sjui kupigania watu
Hivi Chadema inahusika vipi na matusi anayotukanwa Rais Samia na wakenya? Hebu fafanua tafadhali .Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
Rais gani a aeshindwa kulinda katiba??asieskia wala kiambiwa?bado saana atadhatauliwa saanaPamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,