Usinihusushe mimi. Sipo kundi moja na wahalifu dhidi ya binadamu ewe punguani.Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
Huyo ni chawa na mpumbavu! Majitu mengi ya CCM ni mataahira!Anapodhalilika rais na Mimi nimedhalilika ,ila anapotajirika rais?
Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
PUMBAS,Ungekuwa na utulivu kichwani, kamwe usingeandika upuuzi wa namna hii.
Kwa upeo wako, hivi muuaji wa Ali Kibao, akidhalilika, na familia ya Kibao, marafiki wa Kibao, majirani, na wananchi wote wanaothamini utu na uhai wa binadamu, wanadhalilika? Vivyo hivyo kwa Mdude? Seka, na wale waliovunjwa miguu na mikono.
Kwa kweli we hupo sawa sawa kichwani. Hata mtu akikuita mjinga, atakuwa amekupendelea sana.
Hapa anadhalilika yeye na maharamia wake wanaotekeleza uovu ambao ameubariki. Kwa waliodhulumiwa, familia za waliouawa, waliotekwa na walioumizwa, wananyosha mikono juu, kumshukuru MUNGU. Maana anagalao uovu wake sasa unajulikana Dunia nzima, na Dunia inatambua kuwa kuna nchi ambayo wananchi wake wanadhulumiwa haki zao, mpaka haki za kuishi kwa sababu tu ya kumkosoa mtawala.
Jitenge na uovu, thamini uhai wa mwanadamu mwenzako kama ulivyo wa kwako.
Hata mbele za Mungu, hakuna amri iliyo kubwa kama amri ya UPENDO. Ukimpenda mwanadamu mwenzako kamwe huwezi kumwua au kumtia ulemavu eti kwa vile tu amekukosoa.
Tunamshukuru Mungu mpaka hapo hali ilipopofikia, tunaomba mkono wa MUNGU uzidi kuwafikia waovu wote ili siku moja wajutie uovu wao, watubu na kumrudia Mungu wa kweli, MUNGU wa upendo.
Wale wakenya walikuja kufanya nini hapa?Hivi Chadema inahusika vipi na matusi anayotukanwa Rais Samia na wakenya? Hebu fafanua tafadhali .
So hata wakina lusu ni waongo?mwana siasa yoyote hua anaongea uongo anachokitaka nyuma ni nafasi tu zingine zote mbwembwe sjui kupigania watu
wote waongoSo hata wakina lusu ni waongo?
hakuna mwanasiasa anafanya kazi ya kujitolea ni kazi kama kazi zingine kinachoafatisha ni ukubwa wa maslahi, ukiwa na maslahi ya kuvuruga nchi umevuka mipakaKwahiyo hata huyo mama anachoongea sio kulinda nchi, ni analinda tu nafasi yake. Umeiweka vizuri.
sahihi kabisa and lazima tukubali ni kazi kama kazi zingine, ila inapofika swala unaanza kuingiza watu kutoka nje ya nchi kuja ndan hizo sio siasa tenaAt the end wanasiasa ndiyo wanaongoza watu sasa unataka waongoze kwa kujipachika?
wala wasikusumbue hawa vijana wa keyboard kelele zao ni za mtandaoniPamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee,
Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale?
Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu tutazimaliza wenyewe, tusikubali Tanzania yetu na amani tuliyonayo opotee kisa tu kuna uhuru,
Pole sana Mama, Mungu akupe nguvu katika hili na hili pia litapita
Mungu ibariki Tanzania
Nimecheka vibaya, eti ukiwa na maslahi ya kuvuruga nchi, halafu anayetoa hukumu ipi ni kuvuruga nchi ni aliye na maslahi makubwa, anahisi akingia mwingine maslahi yake yatavurugwa. Kwahiyo anatumia madaraka yake kupindisha ukweli.hakuna mwanasiasa anafanya kazi ya kujitolea ni kazi kama kazi zingine kinachoafatisha ni ukubwa wa maslahi, ukiwa na maslahi ya kuvuruga nchi umevuka mipaka
mtu yoyote ambae ana maslahi binafsi its ok, ata ukiiba billions fine, bila rushwa hela haiwezi fika kwa watu wa chini kabisa, ila kwa ndugu yetu mwenye maslahi yanayohusu nje ya nchi basi anadeserve matatizoNimecheka vibaya, eti ukiwa na maslahi ya kuvuruga nchi, halafu anayetoa hukumu ipi ni kuvuruga nchi ni aliye na maslahi makubwa, anahisi akingia mwingine maslahi yake yatavurugwa. Kwahiyo anatumia madaraka yake kupindisha ukweli.