Kwa Tofauti hizi za gharama za uwanja wa Mkapa na Samia, kuna haja ya Maslahi ya Watumishi kuangaliwa upya

Wakiombwa wajenge scheme ya mashamba kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji,watajivuta sanaaa
Ohh pesa hakuna blah blah kibao
Ila kujenga uwanja sjui arena ilii vijana wakate mauno ni chap chap

Ova
Miradi ya BBT ya Waziri Bashe mpaka leo ni kizungumkuti.

Mradi usio wa kiuchumi unatamalizika soon
 
Tunajiandaa na uchanguzi msisahau pia lazima kuchagua kitu kitakacho tupa points nyingi kwa wananchi
 
Nyongeza za mishahara ya watumishi wa umma ziongezwe mwaka juu.
 
Ngoja waje watathmini waje wapige mchanganuo wao,watakuambia kiwanja hicho kitakuwa zaidi ya OT au bernebeu hapo madrid 😄
WatKuambia kiwanja hicho ndicho kitakuwa bora na namba moja duniani 😄

Ova
 
Uzuri mitandao wanasoma.
Watakuja na ufafanuzi.

Hii ni moja ya faida ya mitandao, uwezo wa watu kuhoji.
 
tumepigwa sana nchi hii tuendelee tu kupigwa hakuna namna
 
Mkuu una point ila uwanja si kipimo kizuri, sababu kuna varieties nyingi sana, uwanja wa Arsenal unaingia watu 60,000 ila ni wa kisasa na gharama kubwa kushinda wa Manchesta wenye watu 74,000. Wingi wa mashabiki si kipimo cha gharama za uwanja.

Chukulia mfano mwalimu 2007 alikua akilipwa 160,000 sasa hivi 419,000 (Kama kuna mwenye data latest aweke), naongelea mwalimu wa certificate. Hili ni ongezeko la asilimia kama 160.

At same time hii inflation yetu

Hapo inakuja kama 107% inflation, too lazy ku calculate kwa compound, mwenye kichwa chepesi apige kwa compound, ukilinganisha ndio unapata data sahihi
 
Mimi naamini ukiwambia taasisi kama azamu wajenge uwanja wao kama huu hawawezi kuzidi billion 120.hapo zaidi ya b 100 tumepigwa na kitu kizito.
 
Watumishi wengi wa umma kwa sasa wanaishi kama watoto yatima wasio na baba wala mama. Maana serikali na vyama vyao vya wafanyakazi, lao ni moja!
 
Ngoja waje watathmini waje wapige mchanganuo wao,watakuambia kiwanja hicho kitakuwa zaidi ya OT au bernebeu hapo madrid 😄
WatKuambia kiwanja hicho ndicho kitakuwa bora na namba moja duniani 😄

Ova
Wakandarasi toka china ndio mabingwa wa kutoa 10% kwa vigogo. Na mchina anaweza kutoa hata 30% kabisa inaishia kwa vigogo 🤣🤣🤣🤣🤣. Cag akikagua hawezi kupata ushahidi. Maana hela imelipwa kwa mkandarasi 🤣🤣🤣 kama certificate ya malipo ya kazi 🤣. Tenda ndio njia rahisi kupiga hela 🤣
 
No plesi to haidi Ni kutwaga kila sehemu mpaka kenge asikie...
 
Kwa kutumia analysis hiyohiyo,,je mishahara ya wafa yakazi iliongezeka Kwa the same rate kutoka kipindi cha mkapa Hadi Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…