Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

Fanya miamala mdg angu au njoo nunua tv hz za inch 32 kwa laki 180 ukauziee huko wasukuma kwa 250000 ukiwa na tv kumi na tufivaaa vya umeme kdg na tili la mpesa hapohapo utatokaa vzr tu Wala usinunue hayo magari Sasa hv

Nicheki nikupe muongozoo
Sasa apa ndio toka nasoma comenti ndio nimepaelewa please ndugu unaweza tupa zaidi hizo tv nch 32 kwa bei hizo au chini ya hapo tuna toa wap yani machimbo ya hizo tv
 
Wasalaam.

Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.

Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini.

Location: Ndani ya Mkoa wa Geita.

NB: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo, sijawahi kuzifanya kabla.

Ushauri wenu wazoefu.
Mara nyingi vijana wanapoteza kipato kwa kufanya ndoto za wengine. Ukipata pesa fanya kitu unachokipenda ndo utakifanya kwa ufasaha na si mawazo ya mwingine

Sent from my Mi A2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom