kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Acha uoga mjomba,miamala midogo midogo ya 50k na 100k ni mingi sana kuliko hiyo mikubwaNimeeleza from my own experience. Unachokatwa kwenye makato ya miamala sio anacholipwa wakala. Mtaji wa 5m ukiamua kuiweka float kwenye mtandao let say wa voda unaweza ukahudumia watu wawili au watatu ukajikuta huwezi kutoa huduma kwa either kuwa na float bila cash or kuwa na cash bila float. Kwa maneno rahisi ili shughuli ya uwakala ikulipe unahitaji mtaji mkubwa na mzunguko