kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,216
- 1,062
- Thread starter
- #21
Huu mtaji ni mdogo kwa biashara zote mbili. Uwakala ili ukulipe lazima mtaji uwe mkubwa na mzunguko uwe mkubwa. Mzunguko wa 5m kwenye uwakala unaweza ambulia 150,000 or less kwa mwezi. Commission sio kubwa kwenye miamala.
Upande wa probox kwa 5m utapata iliyochoka sana hivyo hela itakayozalishwa itaishia kwenye matengenezo
Way forward?