Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

Tembea na miamala hautajuta

Usifanye makosa kwenye target ya eneo

Ila je leseni ya biashara iliyo kaa miezi 12+ unayo?

Leseni 3 tofauti with 2 months old.

Ni compulsory requirement?

Lakini, Penye NO nitaweka YES... I am capable of penetrating a 'NO ENTRY' DOOR.

Thanks a bunch mom for your valuable clues.
 
Leseni 3 tofauti with 2 months old.

Ni compulsory requirement?

Lakini, Penye NO nitaweka YES... I am capable of penetrating a 'NO ENTRY' DOOR.

Thanks a bunch mom for your valuable clues.
Ukihonga utapata tena kama uko mkoani chap tu

CRDB Utapata
NMB (simu au selcom)
NBC Utapata
TPB utapata
EQUITY Probability
SELCOM Uhakika
 
Cute wife must be cute lady...

Kwenye uwakala wa bank... nafikiria bank mbili (Nmb & crdb) for start up.

Naweza ongezapo 1M ili ziwe 6M, i.e 3m per bank.

Hapo vipi?

Ongeza ifike 10million kisha weka kwenye hizo account za bank kila moja 3million, jumla inakuwa 6million, 3million kaa nayo cash kwaajiri ya wanaotoa na 1million weka huduma za mitandao km M-pesa Tigo pesa na mingine unayoona ina wateja eneo husika

Bila kusahau funga na camera hii itakusaidia kubahini movement za wateja wachoraji (Matapeli na wezi) na pia kwa kijana utakayemuweka km mwenyewe hutoshinda hapo

Mwenzio kuandika sio mzuri lakini nina Imani utakuwa umeelewa kwa uchache
 
fanya hivi milioni tatu wekeza UTT mfuko wa bond fund.

milioni Moja fanya biashara yoyote yenye low risk kama chips,kuuza matunda.

Laki tano weka kwenye forex broker wa kawaida kama oanda,exness,deriv hii no to risk lakini unaweza poteza pesa Yako au kupata high return.

Laki tano Tena nunua forex pro firm challenge ya Dola 25,000 hapa nayo too risk ila ukipass challenge unaweza kula mema ya Dunia.

hapo nimefanya diversification ya milioni 5.

ikitokea mambo yameenda vizuri capital ikapanda Hadi 12 milioni.. unaweza yote UTT mfuko wa BOND hapo pesa Yako itakuwa free risk utakuwa unakula interest ya 120,000 kwa mwezi kwa maisha yako yote, na pesa Yako ikiwa safe.unaweza pia ukafanya reinvestment ukawa unachukuwa riba unayopokea kwa mwezi unairudisha Tena kwenye mfuko wa BOND, so itakuwa return inaongezeka taratibu kwa miaka mitano mbele utakuwa umefika mbali sana.. hii ndio nguvu ya passive income kama muhandishi mashuhuru kiyosaki anavotushauri.

Na ikitokea mambo yameenda vibaya utapoteza milioni mbili tu, na milioni tatu itakuwa safe maana itakuwa UTT.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ongeza ifike 10million kisha weka kwenye hizo account za bank kila moja 3million, jumla inakuwa 6million, 3million kaa nayo cash kwaajiri ya wanaotoa na 1million weka huduma za mitandao km M-pesa Tigo pesa na mingine unayoona ina wateja eneo husika

Bila kusahau funga na camera hii itakusaidia kubahini movement za wateja wachoraji (Matapeli na wezi) na pia kwa kijana utakayemuweka km mwenyewe hutoshinda hapo

Mwenzio kuandika sio mzuri lakini nina Imani utakuwa umeelewa kwa uchache

Brilliant! Nimeelewa vyema sana mkuu. Highly appreciated.
 
Back
Top Bottom