Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

Kwa Tsh. Milioni 5 nifungue Uwakala wa Benki ama ninunue Toyota Probox niipeleke ruti za vijijini?

fanya hivi milioni tatu wekeza UTT mfuko wa bond fund.

milioni Moja fanya biashara yoyote yenye low risk kama chips,kuuza matunda.

Laki tano weka kwenye forex broker wa kawaida kama oanda,exness,deriv hii ni to risk lakini unaweza poteza pesa Yako au kupata high return.

Laki tano Tena nunua forex pro firm challenge ya Dola 25,000 hapa nayo to risk ila ukipass challenge unaweza kula mema ya Dunia.

hapo nimefanya diversification ya milioni 5.

ikitokea mambo yameenda vizuri capital ikapanda Hadi 12 milioni.. unaweza yote UTT mfuko wa BOND hapo pesa Yako itakuwa free risk utakuwa unakula interest ya 120,000 kwa mwezi kwa maisha yako yote, na pesa Yako ikiwa safe.unaweza pia ukafanya reinvestment ukawa unachukuwa riba unayopokea kwa mwezi unairudisha Tena kwenye mfuko wa BOND, so itakuwa return inaongezeka taratibu kwa miaka mitano mbele utakuwa umefika mbali sana.. hii ndio nguvu ya passive income kama muhandishi mashuhuru kiyosaki anavotushauri.

Na ikitokea mambo yameenda vibaya utapoteza milioni mbili tu, na milioni tatu itakuwa safe maana itakuwa UTT.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
fanya hivi milioni tatu wekeza UTT mfuko wa bond fund.

milioni Moja fanya biashara yoyote yenye low risk kama chips,kuuza matunda.

Laki tano weka kwenye forex broker wa kawaida kama oanda,exness,deriv hii no to risk lakini unaweza poteza pesa Yako au kupata high return.

Laki tano Tena nunua forex pro firm challenge ya Dola 25,000 hapa nayo too risk ila ukipass challenge unaweza kula mema ya Dunia.

hapo nimefanya diversification ya milioni 5.

ikitokea mambo yameenda vizuri capital ikapanda Hadi 12 milioni.. unaweza yote UTT mfuko wa BOND hapo pesa Yako itakuwa free risk utakuwa unakula interest ya 120,000 kwa mwezi kwa maisha yako yote, na pesa Yako ikiwa safe.unaweza pia ukafanya reinvestment ukawa unachukuwa riba unayopokea kwa mwezi unairudisha Tena kwenye mfuko wa BOND, so itakuwa return inaongezeka taratibu kwa miaka mitano mbele utakuwa umefika mbali sana.. hii ndio nguvu ya passive income kama muhandishi mashuhuru kiyosaki anavotushauri.

Na ikitokea mambo yameenda vibaya utapoteza milioni mbili tu, na milioni tatu itakuwa safe maana itakuwa UTT.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni ngumu san , Mtu anaye anza Maisha Kifanya hivi !!!!
 
Hakuna biashara ya kibwege kama hiyo ya magari. Anzisha biashara ya uwakala.
Na uhakikishe tu huingii kwenye 18 za matapeli/majambazi.

Kwa mtaji huo, ukipata chimbo zuri hata Milioni unaweza kulaza kwa mwezi.
Kwa nchi zetu za dunia ya 3,usafiri ni biashara ya uhakika sana,.Tatizo ni namna ya utendaji.
 
Fanya miamala mdg angu au njoo nunua tv hz za inch 32 kwa laki 180 ukauziee huko wasukuma kwa 250000 ukiwa na tv kumi na tufivaaa vya umeme kdg na tili la mpesa hapohapo utatokaa vzr tu Wala usinunue hayo magari Sasa hv

Nicheki nikupe muongozoo
Tuelezee kidogo hii, ni tv za kampuni gani, aina gani? Na unaanza kuchukua ngapi kwa bei hiyo?
 
Uwakala wa bank haitoshi kuna wateja watataka kudeposit 10 million wengine watahitaji cash! Na vipi utatumia bank ngapi?
Maana kila bank itataka uwe na mtaji wa 3 million.

Na inatakiwa at least uwe na CRDB na NMB ndio bank zenye wateja na pia uweke uwakala wa mitandao ya simu ili kamisheni ziwe nyingi

Na gari kwa hiyo pesa utapata mkweche trip shamba, trip garage.
Usisubirie mtaji uwe mkubwa ndio uanze biashara,huyu anaongea kuhusu kuwa na mtaji kuanza biashara na wakati inatakiwa uwe na entrepreneur mind to start a business mkuu. Watu wanaanza biashara bila hela Ni udhubutu tu ,sema uwoga unashikilia watu wasiende mbele. Kwani lazima awahudumie hao 10M atamwambia Hana mtaji. Usisubirie uwe na kila bidhaa ndio ufungue duka ,Anza na bidhaa ndogo utakuwa unajaza ,kila kitu kinakuwa Kama mtt anavyotokea kwenye maji maji ya wazazi wake mpaka anakuwa binge la kitu na mifupa yake ya kupasua mawe. Mbuyu ulikuwa mchicha so usipgope mkuu
 
Wasalaam.

Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.

Nawaza hizo ideas mbili... aidha (a) kufungua uwakala wa bank ama (b) kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) nakuipeleka route za vijijini.

Location: ndani ya mkoa wa Geita.

N.B: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo. Sijawahi kuzifanya kabla.

Ushauri wenu wazoefu.
Geita hiihii wanakoua watu hata ukiwa na laki tatu au
 
Huu mtaji ni mdogo kwa biashara zote mbili. Uwakala ili ukulipe lazima mtaji uwe mkubwa na mzunguko uwe mkubwa. Mzunguko wa 5m kwenye uwakala unaweza ambulia 150,000 or less kwa mwezi. Commission sio kubwa kwenye miamala.

Upande wa probox kwa 5m utapata iliyochoka sana hivyo hela itakayozalishwa itaishia kwenye matengenezo
huu ushauri ni halisi 100% mtoa mada chukua huu
 
Back
Top Bottom