fanya hivi milioni tatu wekeza UTT mfuko wa bond fund.
milioni Moja fanya biashara yoyote yenye low risk kama chips,kuuza matunda.
Laki tano weka kwenye forex broker wa kawaida kama oanda,exness,deriv hii ni to risk lakini unaweza poteza pesa Yako au kupata high return.
Laki tano Tena nunua forex pro firm challenge ya Dola 25,000 hapa nayo to risk ila ukipass challenge unaweza kula mema ya Dunia.
hapo nimefanya diversification ya milioni 5.
ikitokea mambo yameenda vizuri capital ikapanda Hadi 12 milioni.. unaweza yote UTT mfuko wa BOND hapo pesa Yako itakuwa free risk utakuwa unakula interest ya 120,000 kwa mwezi kwa maisha yako yote, na pesa Yako ikiwa safe.unaweza pia ukafanya reinvestment ukawa unachukuwa riba unayopokea kwa mwezi unairudisha Tena kwenye mfuko wa BOND, so itakuwa return inaongezeka taratibu kwa miaka mitano mbele utakuwa umefika mbali sana.. hii ndio nguvu ya passive income kama muhandishi mashuhuru kiyosaki anavotushauri.
Na ikitokea mambo yameenda vibaya utapoteza milioni mbili tu, na milioni tatu itakuwa safe maana itakuwa UTT.
Sent from my TECNO KG5j using
JamiiForums mobile app