Wasalaam.
Title yajieleza. Tsh 5M nataka kuizalisha.
Nawaza hizo ideas mbili, aidha (a) Kufungua Uwakala wa Bank ama (b) Kununua Toyota probox (mkononi mwa mtu) na kuipeleka route za vijijini.
Location: Ndani ya Mkoa wa Geita.
NB: Ideas hizo zote mbili ni mgeni nazo, sijawahi kuzifanya kabla.
Ushauri wenu wazoefu.