Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji.
Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine kushambuliwa na bunduki.
Waliyo yafanya haya bila shaka ni wale wahuni ambao Erick Kabendera ametufumbua macho kuwa walikuwa wanamilikiwa na JPM.
Makonda kwa mfano aliyekuwa swahiba mkubwa wa JPM, aliweza kuvamia Clouds pasipo kujali uwepo wa CCTV camera na genge la wahuni (ambao bila shaka ndiyo wale Kabendera ametudokeza kuwa walimilikiwa na JPM.)
Lisu alishambuliwa kwa risasi mchana kweupe tena kwenye nyumba za serikali zenye CCTV camera na walinzi kibao. Lkn hadi hivi leo hakuna kesi wala mtu aliyekamatwa kama mshukiwa. Haya yaliwezekana yamkini kwasabb wahuni hawa walimilikiwa na rais (JPM).
Nape Nnauye aliitisha press aongee na watanzania. Akajitokeza hayawani mmoja akachomoa bastola ili kumzuia Nape asitimize wajibu wake wa kikatiba. JPM Mungu anamuona.
Nafahamu serikali imeanza kuchunguza waliozushiwa kesi za uhujumu uchumi ili warejeshewe fedha zao za "plea bargaining". Nashauri serikali pia ichunguze mauaji, utekaji na uporaji bila kusahau tukio la Lisu kushambuliwa na risasi.
JPM alikusudia kuiharibu nchi hii bila huruma..