Kwa Tukio Hili Yanga Sijui Kama Atakwepa Rungu la CAF

Kwa Tukio Hili Yanga Sijui Kama Atakwepa Rungu la CAF

Watu wa simba bwana.. kwahiyo mmeonanhiyo jdio njia bora ya kuiharibia yanga baada ya kunya
 
Watu wa simba bwana.. kwahiyo mmeonanhiyo jdio njia bora ya kuiharibia yanga baada ya kunya
Sidhan kama kuna shabiki hata wa yanga anaweza kua hilo eneo, ni teams, teams officers, match officers na wana usalam.
 
Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF.
Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
View attachment 3669237
Akitafutwa huyo unaweza ukakuta ni wa either Gabarone wenyewe wametengeneza script au ni wa timu nyingine nje ya Yanga kwa namna mchukua camera alivyoonekana alikuwa akisubiri tukio hile afanye kazi yake.

However and by all means, kitendo hicho ni cha kishenzi kabisa. Huyo mtu anapaswa kutafutwa atataja aliyemtuma. Kulikuwa na issue gani pale ya kumshambulia Kocha?
 
Hii inaleta tafsiri mbaya kwenye tasnia ya mpira wa miguu.
Nashindwa kuelewa huyo jama! Alikuwa anafikiria nini mpaka kaamua kufanya alichofanya
 
Back
Top Bottom