Kwa Tukio Hili Yanga Sijui Kama Atakwepa Rungu la CAF

Kwa Tukio Hili Yanga Sijui Kama Atakwepa Rungu la CAF

Yanga ndo imempiga huyo kocha?

Akamatwe huyo mpumbavu aliyefanya hilo tukio na hatua kali za kisheria zichukuliwe.
 
Akitafutwa huyo unaweza ukakuta ni wa either Gabarone wenyewe wametengeneza script au ni wa timu nyingine nje ya Yanga kwa namna mchukua camera alivyoonekana alikuwa akisubiri tukio hile afanye kazi yake.

However and by all means, kitendo hicho ni cha kishenzi kabisa. Huyo mtu anapaswa kutafutwa atataja aliyemtuma. Kulikuwa na issue gani pale ya kumshambulia Kicha?
Upumbavu wa Uyanga na Simba unakusumbua
 
Watanzania ni watu wa hovyo siku hizi hawana kabisa heshima, heshima ya Tanzania iliisha kitambo kabla ya kuanza kutawaliwa na mijitu ya ajabu ajabu ndio inawafundisha hizo tabia za kipumbavu namna hiyo. Bure kabisa.
 
Mechi umeshinda hicho kilichofanyika nini ili iweje. Yaani hii nchi Kila Kona ni matukio machafu
.Huko nje wanatuonaje
 
Mechi umeshinda hicho kilichofanyika nini ili iweje. Yaani hii nchi Kila Kona ni matukio machafu
.Huko nje wanatuonaje

Hii inaonekana ni kabla ya mechi, ukitazama kungali na mwanga wa jua...
 
Jamaa mtu mzima ila anafanya utoto! inasikitisha sana,

Kitendo cha kukimbia baada ya kumpiga huyo kocha kinathibitisha kua hata yeye mwenyewe anajua kua amefanya kosa,tena alikua amedhamiria kabisa,alikua anamsubiri ili tu atimize lengo lake,

Huyo mtu atafutwe na ahukumiwe yeye kama yeye,tabia yake ya hovyo isiadhiri na wengine,kama ni kiongozi wa club basi afukuzwe kabisa,hana sifa ya kua kiongozi wa club ya michezo,

Michezo sio vita,sio uadui.
 
"Wenye Akili"
FB_IMG_17846516004495345.jpg
Yanga nzima ni wawili.
 
Back
Top Bottom