Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
INAUNGANA NA WEWE LIPO KUNDI LINALOJARIBU KUTUMIA KILA AKILI KUPANDA CHUKI KWA WATANZANIA KWA MBINU YOYOTE ILE, ALIMRADI TANZANIA IVURUGIKE, NATHUBUTU KUSEMA WANAPANDA NGAZI YA KUJARIBU KUMGUSA KIONGOZI MWENYE HAIBA NA MVUTO KWA UMMA, LET BE KEEN!Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma.Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na hata Chadema chenyewe.
Kwa maana hiyo hilo kundi halikutumwa na vyombo vya usalama na wala viongozi wa vyama vya upinzani isipokuwa wameona wakiongeza kasi ya matukio ya namna hiyo katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi basi kutatokea sintofahamu na kuitikisa nchi kwa maslahi yao.
Sababu kuu ya kuamini hivyo kwanza ni aina ya mtu waliyemlenga ambaye ana nafasi kubwa kwenye chama cha Chadema na namna walivyoamua kumuua.
Ingekuwa ni ugomvi na visasi vya kawaida basi wangemfuata nyumbani kwake na usiku au akiwa kwenye gari yake au ya ndugu zake ili isiwe rahisi kuleta hisia kwa wananchi.Badala yake wamekwenda kumkamata ndani ya basi na mchana kweupe.Kule walikomtupa ni maeneo yale yale maarufu wanakopatikana watu waliouliwa kiujambazi.
Kwanini wasimzike kwenye kaburi ambalo ingechukua muda kugundulika.Madhumuni yao ni kufanya matangazo kutokana na kifo chake ili kutokee fujo.
Kwa tukio hili sasa ndio uwezekano wa kupatikana waliokuwa wakitenda mauwaji watajulikana na kitendawili kuteguliwa pindi serikali itakapotia kulihitimisha.
Kuua mzee kama huyo ndio kutetea nchi. Huyo mzee kawafanyia kosa gani?Sio kutetea polisi.Ni kutetea usalama wa nchi
mpaka sasa haya mambo hayajaanza kwa huyu mzee... kiongozi ana nguvu na vyombo vyote vya usalama lakini hivyo vyombo vimekuwa vikideny kuwa hakuna jambo kama hilo. Sasa unasemaje kuwa kuna kundi linajaribu kupanda chuki wakati anavyo vyombo vya kuchunguza na havifanyi hivyo?INAUNGANA NA WEWE LIPO KUNDI LINALOJARIBU KUTUMIA KILA AKILI KUPANDA CHUKI KWA WATANZANIA KWA MBINU YOYOTE ILE, ALIMRADI TANZANIA IVURUGIKE, NATHUBUTU KUSEMA WANAPANDA NGAZI YA KUJARIBU KUMGUSA KIONGOZI MWENYE HAIBA NA MVUTO KWA UMMA, LET BE KEEN!
Maiti ilipelekwa mochwari asubuhi na polisi, jioni polisi haohao wakatoa taarifa ya kuanza uchunguzi wa utakaji wa mtu ambaye maiti yake wameipeleka mochwari!! Does it make sense even though is not common??Mimi naona wanajua nani anafanya yanayofanyika na itakuwa ni kikundi ambacho kina nguvu kuliko wao ndio maana unaona hawachukui hatua za kueleweka na hawana majibu ya kueleweka. Refer alivyotekwa manji walikuwa wanajichanganya hadi wakawa kituko kwa sababu walikuwa wanajua nini kinaendelea.
Polisi watanzania wakiwa wana nia kweli ya kuchunguza tukio basi hufanya kazi kweli.
Hakuna genge la wahuni lenye guts za kusimamisha bus likamchomoa mtu hadharani bila wasiwasi likasepa naye mchana kweupe.
Na msijisaurishe huyu bwana Ally si wa kwanza kutekwa na polisi mara zote majibu yao ni denial fulani kama vile hakuna utekaji, huyu ni vile imewagusa watu wengi ndio maana umesikia katamko fulani.
Juzi barua yao ilikuwa imelenga kujitetea zaidi kuliko kueleza hatua walizozichukua ni kama vile hakukuwa na hatua.
Kama unadhani ni rahisi hivo nawe nenda zuia basi teka mtu muue umtupe porini kama utamaliza hata saa 24 mtaani. Hakuna kikundi chochote ambacho hakina uhusiano na dola ambacho kinaweza kuwa kinamiliki SMG, Pingu na magari aina ya Landcruiser hardtop na kikafanikiwa kufanya uhalifu wa aina ile mchana kweupe.Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma.Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na hata Chadema chenyewe.
Kwa maana hiyo hilo kundi halikutumwa na vyombo vya usalama na wala viongozi wa vyama vya upinzani isipokuwa wameona wakiongeza kasi ya matukio ya namna hiyo katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi basi kutatokea sintofahamu na kuitikisa nchi kwa maslahi yao.
Sababu kuu ya kuamini hivyo kwanza ni aina ya mtu waliyemlenga ambaye ana nafasi kubwa kwenye chama cha Chadema na namna walivyoamua kumuua.
Ingekuwa ni ugomvi na visasi vya kawaida basi wangemfuata nyumbani kwake na usiku au akiwa kwenye gari yake au ya ndugu zake ili isiwe rahisi kuleta hisia kwa wananchi.Badala yake wamekwenda kumkamata ndani ya basi na mchana kweupe.Kule walikomtupa ni maeneo yale yale maarufu wanakopatikana watu waliouliwa kiujambazi.
Kwanini wasimzike kwenye kaburi ambalo ingechukua muda kugundulika.Madhumuni yao ni kufanya matangazo kutokana na kifo chake ili kutokee fujo.
Kwa tukio hili sasa ndio uwezekano wa kupatikana waliokuwa wakitenda mauwaji watajulikana na kitendawili kuteguliwa pindi serikali itakapotia kulihitimisha.
Aliyeuliwa ametajwa ni mzee japo si mzee kweli umuhimu wake ni hicho cheo chake ndani ya chama.mpaka sasa haya mambo hayajaanza kwa huyu mzee... kiongozi ana nguvu na vyombo vyote vya usalama lakini hivyo vyombo vimekuwa vikideny kuwa hakuna jambo kama hilo. Sasa unasemaje kuwa kuna kundi linajaribu kupanda chuki wakati anavyo vyombo vya kuchunguza na havifanyi hivyo?
Hakuana genge lenye uwezo wa kuja na cruiser, na mitutu vikamteka mtu hadharani halafu polisi wasiigeuze hii nchi juu chini kuwatafuta watu wao unless wanawajua ni akina nani?
Mwanza tu alipouawa kamanda baro waligeuza jiji juu chini na ndani ya siku 2 walikuwa wamewakamata wahusika na story nzima ya kilichotokea, polisi ukiona hawafanyi kazi jua wanajua kinachoendelea.
Hakuna cha genge wala nini hawa reaction yao wanajua nani anayafanya haya ndio maana hawachunguzi
Kwa Serikali hii ya CCM kwa kutumia vyombo vyake kufanya uchunguzi!Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma.Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na hata Chadema chenyewe.
Kwa maana hiyo hilo kundi halikutumwa na vyombo vya usalama na wala viongozi wa vyama vya upinzani isipokuwa wameona wakiongeza kasi ya matukio ya namna hiyo katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi basi kutatokea sintofahamu na kuitikisa nchi kwa maslahi yao.
Sababu kuu ya kuamini hivyo kwanza ni aina ya mtu waliyemlenga ambaye ana nafasi kubwa kwenye chama cha Chadema na namna walivyoamua kumuua.
Ingekuwa ni ugomvi na visasi vya kawaida basi wangemfuata nyumbani kwake na usiku au akiwa kwenye gari yake au ya ndugu zake ili isiwe rahisi kuleta hisia kwa wananchi.Badala yake wamekwenda kumkamata ndani ya basi na mchana kweupe.Kule walikomtupa ni maeneo yale yale maarufu wanakopatikana watu waliouliwa kiujambazi.
Kwanini wasimzike kwenye kaburi ambalo ingechukua muda kugundulika.Madhumuni yao ni kufanya matangazo kutokana na kifo chake ili kutokee fujo.
Kwa tukio hili sasa ndio uwezekano wa kupatikana waliokuwa wakitenda mauwaji watajulikana na kitendawili kuteguliwa pindi serikali itakapotia nia kulihitimisha.
so, jeshi la polisi lisipokuja na majibu na kumbuka si mtu kwanza kutekwa kwa miezi hii ya karibuni na polisi bado hawajatoa majibu ya kueleweka siku zote ni kama vile wanapinga hili kuwa lipo. iwe alikuwa mgambo au mwanajeshi, tukio limetokea hadharani bila kuleta majibu itakuwa wanajua nani kafanya hiki kitendo. kitendo cha mtu kutekwa hadharani na watu wenye cruiser na mitutu inabidi iwe alarm kwao pia wachunguze kweli kweli maana inaonyesha kuwa kumbe kuna hatari ya kiusalama. kama likipita hivi hivi basi watakuwa wanajua nini kinaendelea.Aliyeuliwa ametajwa ni mzee japo si mzee kweli umuhimu wake ni hicho cheo chake ndani ya chama.
Waliomuua si lazima wawe wametumwa na jeshi kufanya hivyo japokuwa wanaweza kuwa ni askari wastaafu au walio ndani ya jeshi wenye uzoefu wa kutumia bunduki na hawana hofu kumkamata mtu yoyote yule.
Unajua namna tunavyoibiwa kirahisi katika mitandao kwa vile wanaofanya hivyo huwa wametokea huko huko kwenye mitandao na wanajua kila kitu.
Unataka kusemaje mkuu? Umeandika maelezo marefu lakini hayana kichwa wala mguu.Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma.Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na hata Chadema chenyewe.
Kwa maana hiyo hilo kundi halikutumwa na vyombo vya usalama na wala viongozi wa vyama vya upinzani isipokuwa wameona wakiongeza kasi ya matukio ya namna hiyo katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi basi kutatokea sintofahamu na kuitikisa nchi kwa maslahi yao.
Sababu kuu ya kuamini hivyo kwanza ni aina ya mtu waliyemlenga ambaye ana nafasi kubwa kwenye chama cha Chadema na namna walivyoamua kumuua.
Ingekuwa ni ugomvi na visasi vya kawaida basi wangemfuata nyumbani kwake na usiku au akiwa kwenye gari yake au ya ndugu zake ili isiwe rahisi kuleta hisia kwa wananchi.Badala yake wamekwenda kumkamata ndani ya basi na mchana kweupe.Kule walikomtupa ni maeneo yale yale maarufu wanakopatikana watu waliouliwa kiujambazi.
Kwanini wasimzike kwenye kaburi ambalo ingechukua muda kugundulika.Madhumuni yao ni kufanya matangazo kutokana na kifo chake ili kutokee fujo.
Kwa tukio hili sasa ndio uwezekano wa kupatikana waliokuwa wakitenda mauwaji watajulikana na kitendawili kuteguliwa pindi serikali itakapotia nia kulihitimisha.
Soka na wengine,Chaula nk. Tatizo ni kibwa litaleta machafuko.Ali Mohamed kibao hana nafasi kubwa kwenye chama cha chadema ni sawa, na sativa ana nafasi gani ndani ya chama?
ni akili za mtu aliyetimamu sana.Tumepita kati na kati.Kama waliotekeleza ni polisi basi ni wajumbe wa kundi ovu hakuna dalili ya kutumwa na jeshi lenyewe.Na hilo kundi ovu laweza kuwajumuisha mpaka wanachama wa vyama vya upinzani.Hizi ni akili za bata. Mtu anasema hakufuatilia halafu anatetea kwenye jambo ambalo anakiri halijui