Kwa tukio la kuuliwa Ali Kibao nawatetea polisi.Ni kundi lenye nia mbaya na nchi

Wakuu hivi mmewahi kusikia kitu kinaitwa ugaidi wa ndani?, basi hilo linawezekana pia. Wahuni wapo kila mahali na wanaweza kuvaa mavazi yoyote.
 
Aina ya viumbe kama wewe ndio mmejaa huko CCM. Uwezo wenu wa kujenga hoja hamana. Mpo kimasilahi na kujipendekeza kama mbwa.

Hapa ilitakiwa kuanzia sasa waziri mkuu, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa usalama na mkuu wa polisi wote wawe wamejiuzuru. Kwa haya matukio yanayoendelea nchini.

Maana yake sisi kama wananchi jukumu tulilowakabidhi wameshindwa. Wapishe waingie wengine.

mjinga kama wewe et unatetea unatetea upumbavu?. Uhai wa mtu ni wathamani kuliko vyeo na fedha.

Tht Y nasema bora ungekaa kimya tu. Kuliko kuandika upumbavu wako hapa.
Mimi najua wewe si mtetezi wa lolote lile la maana.Ni mtu unayependa patokee fujo kutokana na matukio ya kihuni.
Hao mawaziri kama watajiuzulu kwa hisia zako hizo basi watakuwa ni wazembe sana.
 
Nonsense!
 
Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma.Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na hata Chadema chenyewe.
Kwa maana hiyo hilo kundi halikutumwa na vyombo vya usalama na wala viongozi wa vyama vya upinzani isipokuwa wameona wakiongeza kasi ya matukio ya namna hiyo katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi basi kutatokea sintofahamu na kuitikisa nchi kwa maslahi yao.
Sababu kuu ya kuamini hivyo kwanza ni aina ya mtu waliyemlenga ambaye ana nafasi kubwa kwenye chama cha Chadema na namna walivyoamua kumuua.
Ingekuwa ni ugomvi na visasi vya kawaida basi wangemfuata nyumbani kwake na usiku au akiwa kwenye gari yake au ya ndugu zake ili isiwe rahisi kuleta hisia kwa wananchi.Badala yake wamekwenda kumkamata ndani ya basi na mchana kweupe.Kule walikomtupa ni maeneo yale yale maarufu wanakopatikana watu waliouliwa kiujambazi.
Kwanini wasimzike kwenye kaburi ambalo ingechukua muda kugundulika.Madhumuni yao ni kufanya matangazo kutokana na kifo chake ili kutokee fujo.
Kwa tukio hili sasa ndio uwezekano wa kupatikana waliokuwa wakitenda mauwaji watajulikana na kitendawili kuteguliwa pindi serikali itakapotia nia kulihitimisha.
Unawatetea huku hata haujui wala haujawaona wauaji?Unaogopa kumshutumu mtu?
 
Hatuwezi kumshutumu mtu bila ushahidi.
Niliposema nawatetea ni kwa vile vimeshaona hisia za watu wa aina yako ambao mngependa tuanze na kuwashutumu polisi japo hamna ushahidi wa kuhusika na tukio lenyewe limeacha dalili za uhuni tu.
 
Mimi najua wewe si mtetezi wa lolote lile la maana.Ni mtu unayependa patokee fujo kutokana na matukio ya kihuni.
Hao mawaziri kama watajiuzulu kwa hisia zako hizo basi watakuwa ni wazembe sana.
Kuna fujo zaidi ya hizi za kutekwa watu na kuuawa? Tena na hao polisi! Au kwako unaona hao wanaofanyiwa ni Mihogo na viazi? Hawana na thamani yoyote?

Uliona baada ya Trump kushambuliwa mkurugenzi wa idara ya usalama ulichofanyiwa na alichoamua kufanya?

Ukiwa na cheo cha umma hiyo sio mali yako au familia yako, na sio kwamba wewe pekee unakuwa unastahili. Tambua ni umma umekupa usimame hapo na unaposhindwa toka aingie mwingine.

Haiwezekani tuongeze wajane na watoto yatima kwa masilahi ya tumbo la wapumbavu fulani kisa tofauti za kisiasa. Big No.
 
Hatuwezi kumshutumu mtu bila ushahidi.
Niliposema nawatetea ni kwa vile vimeshaona hisia za watu wa aina yako ambao mngependa tuanze na kuwashutumu polisi japo hamna ushahidi wa kuhusika na tukio lenyewe limeacha dalili za uhuni tu.
Unawatetea kwa hisia tu?Wapalestina wamekushinda umeamua urudi pangoni?Umewahi kupata maumivu hata ya kukatwa kidole kwa uzembe au ukatili wa majahil tu?
 
Kwanini usikae kmya tu kuficha upumbavu wako
Kwa nini mtu asifikirie kwenye mrengo tofauti na unavyofikiri wewe?
Wewe ndiye FALA,unanasa mtegoni kiboya tu.
Halafu JF inaitwa home of great thinkers!
Usiishi Kwa kukariri Boya wewe.
 
wapumbavu 2 mnateteana.
kama mawazo yenu hayo kiwendawazimu ndio hoja.ni bora mkae kmya.
 
Kuzuia hisia za mwenzako ni aina nyengine za upumbavu uliozidi kiwango.
Kama una taarifa zaidi kinyume na hizo basi tumia uhuru wako uziwasilishe hapa.
Kwa hiyo mtu anakata gogo hadharani asisemwe kwa kua ni hisia zake? Sasa kakate gogo hadharani pale stendi ya mbezi
 
H
Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma.Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na hata Chadema chenyewe.
Kwa maana hiyo hilo kundi halikutumwa na vyombo vya usalama na wala viongozi wa vyama vya upinzani isipokuwa wameona wakiongeza kasi ya matukio ya namna hiyo katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi basi kutatokea sintofahamu na kuitikisa nchi kwa maslahi yao.
Sababu kuu ya kuamini hivyo kwanza ni aina ya mtu waliyemlenga ambaye ana nafasi kubwa kwenye chama cha Chadema na namna walivyoamua kumuua.
Ingekuwa ni ugomvi na visasi vya kawaida basi wangemfuata nyumbani kwake na usiku au akiwa kwenye gari yake au ya ndugu zake ili isiwe rahisi kuleta hisia kwa wananchi.Badala yake wamekwenda kumkamata ndani ya basi na mchana kweupe.Kule walikomtupa ni maeneo yale yale maarufu wanakopatikana watu waliouliwa kiujambazi.
Kwanini wasimzike kwenye kaburi ambalo ingechukua muda kugundulika.Madhumuni yao ni kufanya matangazo kutokana na kifo chake ili kutokee fujo.
Kwa tukio hili sasa ndio uwezekano wa kupatikana waliokuwa wakitenda mauwaji watajulikana na kitendawili kuteguliwa pindi serikali itakapotia nia kulihitimisha.
hivi wew jamaa una akili kweli yawezekanaje watu wamuue kiongozi wao ambaye yupo kwenye sekretarieti ?? Vipo vitu tusiropoke tu kwa kuwa vimewakuta familia za wenzetu subiri likukute wew uone kama utakuwa na hamu ya kuandika ujinga wa aina hii
 
Akili nyingi huwa ndio zinaweza kufichua yaliyojificha.
 
Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma.Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika.
Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala.Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na hata Chadema chenyewe.
Kwa maana hiyo hilo kundi halikutumwa na vyombo vya usalama na wala viongozi wa vyama vya upinzani isipokuwa wameona wakiongeza kasi ya matukio ya namna hiyo katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi basi kutatokea sintofahamu na kuitikisa nchi kwa maslahi yao.
Sababu kuu ya kuamini hivyo kwanza ni aina ya mtu waliyemlenga ambaye ana nafasi kubwa kwenye chama cha Chadema na namna walivyoamua kumuua.
Ingekuwa ni ugomvi na visasi vya kawaida basi wangemfuata nyumbani kwake na usiku au akiwa kwenye gari yake au ya ndugu zake ili isiwe rahisi kuleta hisia kwa wananchi.Badala yake wamekwenda kumkamata ndani ya basi na mchana kweupe.Kule walikomtupa ni maeneo yale yale maarufu wanakopatikana watu waliouliwa kiujambazi.
Kwanini wasimzike kwenye kaburi ambalo ingechukua muda kugundulika.Madhumuni yao ni kufanya matangazo kutokana na kifo chake ili kutokee fujo.
Kwa tukio hili sasa ndio uwezekano wa kupatikana waliokuwa wakitenda mauwaji watajulikana na kitendawili kuteguliwa pindi serikali itakapotia nia kulihitimisha.
huna akili itoshe kusema hivyo idiot
 
Tuseme sawa serikali kupitia vyombo vyake vya dola haihusiki lakini tujiulize vipi basi hali ya usalama wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla ikiwa kuna vikundi hatari vinaendesha matukio ya kutisha ya kuteka watu na kuwaua na wengine hawajulikani kama wapo hai au wameshauliwa na miili yao kutoweka kabisa na wengine kujeruhiwa vibaya lakini mpaka sasa serikali kupitia vyombo vyake imeshindwa kuvibaini vikundi hivyo hatari ambavyo vimekuwa vikiendesha uharamia wao waziwazi tena mchana kweupe,je tupo salama? Na kwanini mara zote yanapofanyika matukio hayo viongozi husika waliopewa jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao wamekataa kabisa kuonesha kuwajibika kwa kujiuzulu nyadhifa zao?
 
Hilo ndilo la kutafakari
 
Wanamtandao hao wanapambana na mama. Usishangae kusikia Januari na Nape wamekamatwa kuisaidia Polisi upelelezi.
 
Back
Top Bottom