Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote


Kama nimetunga sikulazimishi
 
Hamnaga Mungu wa mhemuko kama huyu wa kwenu.
Allah anapona waumini wake? Au ndiyo anaponya kupitia mahakama ya kadhi?
Mashekh naona wanauza dawa za kienyeji na wengine wanakuwa mashekh majini.
Wengine wanakuwa watabiri wa nyota tu na kutumia ulozi ila bila bila.
Yesu ni njia ya kweli na uzima
 
Yaani unamuamini kabisa mtoa mada kuwa kweli mama yake alipatwa na yale matatizo? Please usiingie mtego huo!! Kweli hata wewe na akili zako unaweza kuanika maradhi ya mama yako humu JF? Ili iweje kwanza?
 
Huna akili ndo maana Mungu kakataa umalize kusoma uzi hadi mwisho ili urudi kwa ibilisi uendelee na kashfa zenu.
 
Ili iwe kweli inatakiwa kuwaje? huko msiktini hua hamuombei wagojwa?
 
Hakuna dini au dhehebu linalompeleka mtu peponi isipokuwa imani yako tu ndio itakuponya. Uyo mama yako imani yake ndio imemponya tuendelee kuwa na imani dhabiti kwenye kila jambo.
 
Naihurumia family yako kulea jitu jinga kama wewe
 
Siyo kila asiyekubaliana na miujiza ni wa Dini nyingine nje ya wanaomini Kristo, wapo wakristo hawaamini hayo mambo, ndiyo maana ukienda pale Msimbazi center, pale mlangoni Wapigwa marufuku Wanamaombi Kuingia pale, ingawa ni wakristo Wenzao.
 
akili za kibashite hizi msimamo mkali kama isil, najua kuna watu wanapona kwa njia za waganga wa jadi, miti shamba, na Mungu, hata ukisoma historia za mababu utaambiwa, kumwelimisha chizi huyu ni kazi ambayo hakuna kiumbe ataweza, facken kabisa.
 
Unazi huu,dar Ina wagonjwa wengi sana pamoja na rafiki yangu ,huyo mtumishi wako Huwa hawaoni au
jinga kweli fuata nyuki ule asali, wao walifata mkutano wakapata majibu wewe upo geto unasubiri muujiza facken kabisa.
 

Sio kila kitu cha hospital mkuu jitahidi kujielimisha
 
We ni mpumbavu mkubwa, aliyekudanganya Hospitalini wanaweza kutibu kila ugonjwa ni nani?

Yupo Mama mmoja naye alikuwa na kansa ya kizazi ambapo kwa uthibitisho wa kiwango cha kansa hiyo na majibu toka kwa Madaktari bingwa walidai huyo Mama hataweza kupata Watoto maisha yake daima.

Mungu ni Mwema baada ya miaka 7 yule Mama akiwa anadumu katika maombi tu kwa imani yake alipona kansa ya kizazi, alishika ujauzito, na alijifungua salama Mtoto mzuri kwa njia ya uke na analea Mtoto sasa hivi.

Hujalazimishwa kuamini ukuu wa Mungu ndiyomaana Mleta mada kasisitiza kila Mtu abaki na imani yake lakini asidharau imani za Watu wengine.

YESU NI BWANA (MUNGU).

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…