Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Mungu wa wakristo haangalii wingi wa watu
Ndo maana israel ni kinchi kidogo ila kilwapiga mataifa 7 ya waarabu

Wakati mungu wenu allah anasubiria muwe wengi ndo aonyeshe nguvu zake
Mungu wa wakristo hata wakiwa wachache anaonekana as long unamwamini
Well said
 


Sawa, upo sahihi, lakini ana Mama yake mzimq ndani, that is what matters, mpe jina lolote, lakini ana afya
 
Sasa unangoja nini ndugu kumfuata yesu achana na hadithi za uongo et mbinguni utaoa bikira 72 hakuna mungu anaefagilia uzinzi karibu ukristoni
 
Itoshe kusema kuwa
HUNA AKILI ✅️
 
Sema binadamu ni wagumu tu kuelewa dini wote tumeletewa halafu zinatufanya tukose utu na heshima kwa wengine.
 
Niseme wewe ni msengelema ulikubuhu
 
"Mama Imani Yako Itakuponya"
Hiki ndicho kitu cha kushikilia.

Tumuombe sana MUNGU atupe Imani.

Haya masuala ya dini hii sijui dini ile huwa sizingatii sana maana yanawafanya watu kubaguana.
Imani ndio mpango mzima.
Uounguze ujuaji wewe kima.

Unatembea umeoza maneno mengi.

Unashinxwa kumshukuru hata Mungu alitekuumba
 
Hayajakukuta unadhani haya unayoandika huyu hayajui
 
Ungesoma mpaka mwisho atleast tusingejua Kama wewe ni mwehu! Jitahid kupunguza stress na kutuliza akili kidogo ili ku maintain heshima yako!

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Mungu wa wakristo haangalii wingi wa watu
Ndo maana israel ni kinchi kidogo ila kilwapiga mataifa 7 ya waarabu

Wakati mungu wenu allah anasubiria muwe wengi ndo aonyeshe nguvu zake
Mungu wa wakristo hata wakiwa wachache anaonekana as long unamwamini
Kula tano [emoji2936][emoji2935]
 
Wakiwa wengi una faidika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…