Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Kwamba unamaanisha Mungu hana uwezo wa kufanya mtoa mada alichokisema?

Mungu yupo na anatenda hata leo hii upo nyuma ya CM yako unampinga lakini bado anatenda kazi na ANAKUPENDA SANA.
Na wewe ni hao hao mnaojazana kwa akina Mwamposa !! Brainwash tupu!!

Kama akina Mwamposa wana huo uwezo kwa nini waende pale Kawe badala ya kwenda Ocean Road au Muhimbili ambako kuna wagonjwa wa kiukweli?

Haya majitu yanawachanganya na uchawi wa Nigeria na mistari ya biblia nanyi mnapumbazika mnajaa kama nzige kununua maji na udongo. Mwenzenu kaishajenga 3 Star hotel pale Mbalizi Mbeya
 
Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
Amemalizia Kwa kusema heshimu Imani za wengine. Kosa ni lipi hapo?
 
Na wewe ni hao hao mnaojazana kwa akina Mwamposa !! Brainwash tupu!!

Kama akina Mwamposa wana huo uwezo kwa nini waende pale Kawe badala ya kwenda Ocean Road au Muhimbili ambako kuna wagonjwa wa kiukweli?

Haya majitu yanawachanganya na uchawi wa Nigeria na mistari ya biblia nanyi mnapumbazika mnajaa kama nzige kununua maji na udongo. Mwenzenu kaishajenga 3 Star hotel pale Mbalizi Mbeya
Uponyaji wa Imani unafanyika Kwa Imani. Sasa anaendaji Ocean road Kwa wagonjwa ambao hawajawa na Imani hiyo????
 
Uongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi kawaida sana ....Jamani jaribu muende hata hospital mkaone wagonjwa .

Unaanza wewe ni muislamu hakuna ukweli labda kama ni jina ila sio halisi.....Hizi stories zipo kibao hazina ukweli ni fake kuna kipind kabisa cha ushuhuda.[emoji1787]
imagine unambishia mtu usiyemjua wala kumwona kwa kisa chake yeye binafsi[emoji23][emoji23][emoji23].

hakika tz ina wagonjwa wengi wa akili.
 
Na wewe ni hao hao mnaojazana kwa akina Mwamposa !! Brainwash tupu!!

Kama akina Mwamposa wana huo uwezo kwa nini waende pale Kawe badala ya kwenda Ocean Road au Muhimbili ambako kuna wagonjwa wa kiukweli?

Haya majitu yanawachanganya na uchawi wa Nigeria na mistari ya biblia nanyi mnapumbazika mnajaa kama nzige kununua maji na udongo. Mwenzenu kaishajenga 3 Star hotel pale Mbalizi Mbeya
Jibu swali acha kurukaruka kama maharage.
MUNGU HAWEZI KUFANYA AMBACHO MTOA MADA AMEANDIKA?
mi ni muumini wa YESU KRISTO sio wa mwamposa kwanza simfagilii kiviile lkn hata ingekua kweli haimuusu mtu.

Kama wewe unae mungu wako basi acha kuponda Mungu wa wenzio. Pita zako hivi uende kwenye majukwaa ya waabudu mizimu wenzio kimyakimya.
 
Humu Kuna wagonjwa wa akili wengi,yaan humjui mtu kaja na mkasa wake afu unaanza kubisha,mnacho bisha nn Sasa?Wachawi hebu punguzen hasira mkisikia Mambo ya Mungu mbona mnaungua ivyo?.🔥🔥🔥🔥 mshindwe na mteketee
 
Na wewe ni hao hao mnaojazana kwa akina Mwamposa !! Brainwash tupu!!

Kama akina Mwamposa wana huo uwezo kwa nini waende pale Kawe badala ya kwenda Ocean Road au Muhimbili ambako kuna wagonjwa wa kiukweli?

Haya majitu yanawachanganya na uchawi wa Nigeria na mistari ya biblia nanyi mnapumbazika mnajaa kama nzige kununua maji na udongo. Mwenzenu kaishajenga 3 Star hotel pale Mbalizi Mbeya
Bro inaonekana kichwa yako ina shida. Sasa unachopenda ni nini? Watu kuponywa na nguvu za Mungu au huo uchawi wa kinaijeria unaouona una nguvu? Kwahiyo Mungu ashindwe kuponya ila uchawi wa kinaijeria uponyaji? Nashauri, sio kila thread unatakiwa ucomment. Nyingine pita pembeni kwani unazidi onyesha uchi wa akili yako.

Kuhusu wagonjwa Ocean Road na Muhimbili, toka enzi za Adam hadi wakati wa Yesu na Mitume Magonjwa yalikuwepo na Mahospitali na matabibu walikuwepo mbona hawakuzunguka huko Mahospitalini? Ebu acha ujuaji, issue zingine ziache zikupite tu mkuu.
 
Unaamini ujinga?🤣🤣 Hamna ukweli hapo hao wakina mwamposa ..

Mnaitwa dm mkamjue huyo mtumishi kwanza..Matapeli hao .🤣
Sasa akituita wewe inakuuma nini? Mbona kwenye kula tunda kimasihara mnaendaga inbox kuna mtu anawakataza? Hizi chuki za kidini sijui zitawasaidia nini? Yaani mnataka kuona na kuandika habari mbaya tu za Ukristo ndio sio utapeli? Very funny.
 
Jibu swali acha kurukaruka kama maharage.
MUNGU HAWEZI KUFANYA AMBACHO MTOA MADA AMEANDIKA?
mi ni muumini wa YESU KRISTO sio wa mwamposa kwanza simfagilii kiviile lkn hata ingekua kweli haimuusu mtu.

Kama wewe unae mungu wako basi acha kuponda Mungu wa wenzio. Pita zako hivi uende kwenye majukwaa ya waabudu mizimu wenzio kimyakimya.
Kumetokea kundi la vijana ambalo kazi yao ni kupinga chochote kinachoelezea kuhusu Mungu. Sasa kama wao wanapinga, watuache sisi tunaofuatilia na kukiri matendo ambayo Mungu ametutendea wao waendelee na threads zingine.
 
Sasa akituita wewe inakuuma nini? Mbona kwenye kula tunda kimasihara mnaendaga inbox kuna mtu anawakataza? Hizi chuki za kidini sijui zitawasaidia nini? Yaani mnataka kuona na kuandika habari mbaya tu za Ukristo ndio sio utapeli? Very funny.
Matapeli hao nenda inbox ukapewe namba ya mchungaji 🤣🤣upigwe pesa ..

Narudia tena ni matapeli.
 
Maisha haya bro sikia tu kwa watu. Kuna mtu mmoja nilimwomba alikuwa na donda ndugu mguuni. Aiseeee, Muacheni Mungunaitwe Mungu tu. Ni kweli duniani kuna watu wana mateso sana.
[emoji120]
 
Back
Top Bottom