Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Uache ujinga huu.
Hata Yesu hakuponya watu wote bali waliponywa waliotakq kuponywa.

Yesu huponya na huponya wenye imani.
Ukubali ukatae

Mtu anasahau mkasi kwenye mwili wa mwenzake?, Hii inakuwa dokta kalewa au

Hii michezo ina fanana na ile wanayocheza wahuni, wanaweka TV, Pikipiki na vitu vingine, alafu wanatumia wenzao wanajifanya Wameshinda ili kuwavuta Wajinga, nao wacheze.
 
Hii michezo ina fanana na ile wanayocheza wahuni, wanaweka TV, Pikipiki na vitu vingine, alafu wanatumia wenzao wanajifanya Wameshinda ili kuwavuta Wajinga, nao wacheze.
Bahati mbaya tungedhani haya yangeishia kwenye kamari huko mitaani lakini leo yapo mpaka kwenye dini.
 
Siku ukiugua ukaanza kujinyea na madaktari wameshindwa utamtaka Yesu bila kupenda
Siyo kweli, kwani walokole hawaumwi ama hawafi.
Kuna jamaa alikua na kanisa lake, na alikua mchungaji pale kanisani kwake, alipata ugonjwa wa gafla, kimbizwa hasptali ila Mungu akampenda zaidi.

Hivyo kuumwa kupo na kifo kipo Muhimu ni kuomba Mungu.
 
Ndugu mtoa Uzi usitegemee baath ya watu watakuamini kwa hbr ya uponyaji, wkt WA Yesu walikua wanaona life na hawamini.
Watu wanaamini Mungu ila wanaxikana nguvu zake
 
Mkuu kuna vitu nilikuwa siviamini dunia hii ila Mungu aliniponipitisha nikajifunza kufunga mdomo.

Waombee tu wasijifunze in a hard way
FAmilia yangu imeingia Uktisto nikiwa na umti mdogo, ndugu zetu kwa 98% ni waislam na baba mkubwa ni shekhe.
Baba na familia yangu iliingia Ukristo kwa baba kuponywa ugonjwa uliomtesa kwa muda.

Nimeshuhudia kwa macho watu wakiponywa.
Nimeona watu wakiponywa nikiwa zero distance.
Nimeona miujiza mingi isiyoelezeka.

Hivyo kwangu...Yesu ni mponyaji
 
Mkuu una Bichwa kama Furushi la ushirombo...
 
Amina amina kubwaaa!
Nyieee mungu yupo na ana nguvu sana!

Msalimie sana your sweetmom!
Aishi miaka mingi
 
Hadithi zinaendelea Muwe mnaenda hospitalini basi
 
Hii iinafundisha sana, maana kuna mitazamo, eti ukimjadili shekhe au mchungaji maslahi, eti unakashifu dini ys watu.
 

Attachments

  • Screenshot_20230919_194227_WhatsApp.jpg
    206.9 KB · Views: 4
Huyo ni mkristo analazimishi hata andika yake unajua tu😅😅😅.

Mkristo akiandika badla ashukuru Mungu utasikia anasema Yesu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…