Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

Status
Not open for further replies.

Usiku

Senior Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
174
Reaction score
47
HEY pipooooooooooooooooo

hope mpo poa sana!!!!!! hii ni kukumbushana maisha tuliyoyapitia tulipokuwa Kanta!!! unakumbuka nini!!!mambo ya chanjii, O.G, Kidedi, mandevuniiiii , Mwal Chijua etc to mention bt few!!!
 
Mbona unazisahau Mazwi,Rukea High na nyinginezo???
 
safari ya kupitia Ndalambo, Laela, Mpui, Moro, Kizwite, Chanji hadi Lwiche. Chijua kwa sute alikuwa kiboko. nakumbuka ile jacket lake la kijani
 
Mhhh mkuu Usiku ulipita Kanta mwaka gani
Chanji, Kizwite, Majengo, chuo cha ualimu kanta na zile kota za polisi na enzi ule mto unatenganisha polisi na maeneo ya kanta hata daraja hakuna mvua ikinyesha nyingi tuu watu hamuendi town
Mwalimu Millinga akiwa Headmaster pale
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Usiku wewe wa juzi sanaaise
Uliikuta na shule ishabadilishwa sana
Sisi tulipita miaka ya 1999 Alevel pale tukimwacha Millinga akiwa Headmaster japo hakudumu sana maana kuna issue aliifanya tukamchongea mpaka akaondolewa pale
 
Last edited by a moderator:
Ohhhhhh sure mm nilimkuta jembe Yamseboo
 
kzaz cha uboyzn!! n ugumu mwanzo mwisho kwa mbali iv na watoto wa st telezia
 
Kuna njemba nahitaji kujua walipo na kama kuna mwenye phone number za atupie hapa; Valli Kafuka, Bob T, Lee Joseph, Rashid Mbwilo, Issa Kazale, Cretus Malungu, Gwadumi Green, some body Madebe n.k. Vipi mzee Msengezi mpishi wetu yupo?, lakini je mto lwise bila kusa shamba letu la mahindi nyuma ya mtaru wa kantalamba. Vipi ngumi za kantalamba na mazwi zinaendelea?, ila mazwa tulikuwa tunawapa kichapo mpaka wanapoteana!.
 
Kumbe mie wazamani. Nilimaliza O-level pale 1990. Headmaster alikuwa Millinga, wengine akina Malema, Kaale, Pangani na Kasomo, wakati huo Yamsebo alikuwa Headmaster Mazwi.
 
Mkuu Usiku wewe wa juzi sanaaise
Uliikuta na shule ishabadilishwa sana
Sisi tulipita miaka ya 1999 Alevel pale tukimwacha Millinga akiwa Headmaster japo hakudumu sana maana kuna issue aliifanya tukamchongea mpaka akaondolewa pale

Sema ukweli wako Mr. Rocky.
Watu tumetoka A level ya Kanta miaka hiyo ya 1999. Tumepigana na Mazwi kule Uwanjani mpaka mwenzetu mmoja akavunjwa taya na kusababishiwa mwanya wa kudumu. Majuto Salehe Njanga alikuwa teacher wetu wa Geo. Millinga akiwa HM. Oooooh Jamani! ziko wapi siku zile? Wapi Nzaramte, wapi Portugo?
 
Last edited by a moderator:
Amakweli Kanta ya mwishoni mwa 1980s na mwanzoni mwa 1990s ili kuwa zaidi ya shule maana kila kitu kilikuwepo!, vipi mwl nidhamu maarufu kama aisee aisee nimekuona! mwl Mwaihojo yupo? bila kusahau mwl Sangu na Kawawa.
 
Sema ukweli wako Mr. Rocky.
Watu tumetoka A level ya Kanta miaka hiyo ya 1999. Tumepigana na Mazwi kule Uwanjani mpaka mwenzetu mmoja akavunjwa taya na kusababishiwa mwanya wa kudumu. Majuto Salehe Njanga alikuwa teacher wetu wa Geo. Millinga akiwa HM. Oooooh Jamani! ziko wapi siku zile? Wapi Nzaramte, wapi Portugo?

Aliyevunjwa taya alikuwa Makamu mwenyekiti wangu wa Ukwata Kantalamba mkuu
Ndo maana yake nimemaliza pale mwaka huo wa 1999 Alevel mkuna Milinga akiwa HM.

Huwezi amini tulikuwa pamoja na jamaa aliyevunjwa taya ila nilivyookoka na kukimbia Mungu anajua nilifanyaje na mpaka tunampeleka hospital ananiuliza hilo swali wewe uliokokaje kwenye ugomvi ule hukuumia
Dah mkuu Penguine tufahamiane bana
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom