Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamsebo aliingia baada ya Milinga kuondolewa mkuu UsikuOhhhhhh sure mm nilimkuta jembe Yamseboo
Mkuu Usiku wewe wa juzi sanaaise
Uliikuta na shule ishabadilishwa sana
Sisi tulipita miaka ya 1999 Alevel pale tukimwacha Millinga akiwa Headmaster japo hakudumu sana maana kuna issue aliifanya tukamchongea mpaka akaondolewa pale
Nilikuwa jirani yenu kizwite 2003, kuna kiboko yenu Mwl njaga mnamkumbuka??
Sema ukweli wako Mr. Rocky.
Watu tumetoka A level ya Kanta miaka hiyo ya 1999. Tumepigana na Mazwi kule Uwanjani mpaka mwenzetu mmoja akavunjwa taya na kusababishiwa mwanya wa kudumu. Majuto Salehe Njanga alikuwa teacher wetu wa Geo. Millinga akiwa HM. Oooooh Jamani! ziko wapi siku zile? Wapi Nzaramte, wapi Portugo?