Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alooooo tulikuwa tunawachukia watoto wa walimu maana umbea wote kwa baba au mama zao waalimu ila walikuwepo watoto wa walimu wamepinda mbayaaaNimesoma kayumba ya wilayani, haikuwa mjini sana ila sio kijijini kabisa. Fagio za chelewa, majembe, nguzo za kujengea jengea sehemu za nyasi, maua, maji na kuni.
Wasichana ilikua kawaida kuagizwa wakachote maji kupeleka kwa walimu. By the way dingi alikua ticha so nimekula sNa mseleleko wa kudoji kazi sometimes.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] wanalishwa vitu laini laini kwa hiyo hawana nguvu za kutosha, enzi zetu umechumiwa fimbo mzigo wa kuni zote zinakuishia mwilini
Nakumbuka kwa wiki tulikuwa tunafunga hesbu ya viboko kwamba tumechapwa vingapi, mtu unakuta umepigwa viboko mpaka 200 kwa wiki moja[emoji3][emoji3][emoji3] wanalishwa vitu laini laini kwa hiyo hawana nguvu za kutosha, enzi zetu umechumiwa fimbo mzigo wa kuni zote zinakuishia mwilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka kwa wiki tulikuwa tunafunga hesbu ya viboko kwamba tumechapwa vingapi, mtu unakuta umepigwa viboko mpaka 200 kwa wiki moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wiki, imagine ile jumatatu mtu anafunga mahesabu na viboko 25 mpaka ijumaa mzigo wa viboko atakuwa kachapwa ngapi ?
Hahaha noma sanaKwa wiki, imagine ile jumatatu mtu anafunga mahesabu na viboko 25 mpaka ijumaa mzigo wa viboko atakuwa kachapwa ngapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app