Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,556
Hao ndo wasaliti namba 1 kea sasaJWTZ RUSHWA,IMEKITA MIZIZI UMESAHAU YA MABEYO
Hao ndo wasaliti namba 1 kea sasaJWTZ RUSHWA,IMEKITA MIZIZI UMESAHAU YA MABEYO
Nipo salama Comrade. Ila ni kwa uwezo tu wa mwenyezi Mungu. Maana nimekoswa koswa kama mara mbili hivi na wale vilaza waliofeli mtihani wa kidato cha nne.Nje ya mada, hivi mzee wangu Tate Mkuu upo salama?
Siyo tu za moto hata za jadi kama mikuki mapanga n.k next time tusiende kwenye maandamano mikono mitupuNaleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA?