Nipo salama Comrade. Ila ni kwa uwezo tu wa mwenyezi Mungu. Maana nimekoswa koswa kama mara mbili hivi na wale vilaza waliofeli mtihani wa kidato cha nne.
Nguvu nyingi, akili kisoda. Mbwa kabisa wale.
Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA?