Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli Samuya na mwanae Abdul waliingiza makontena mengi ya silaha kwa ajili ya kuua watoto wa Tanganyika. Sijui ni shetani gani aliwakumba mbwa hawa, ama wao ndo mashetani?
Ukweli huu unathibitishwa pia na taarifa zilizopo kuwa ni vigumu kupata silaha miongoni mwa vikosi vya JWTZ, hivyo hawa wauaji walilijua hilo na walijitayarisha mapema.
It is telling pia kuwa Polisi walikuwa wepesi mno kukanusha taarifa hizo, meaning kulikuwa na ukweli wa kutosha ndani yake. Ni kama leo walivyoibuka na taarifa ghafla kuwa kuna raia wa kigeni wameingia nchini kufanya vurugu baada ya kugundulika kuwa Idi Amini Mama amekodisha mamluki kutoka Uganda na wanaua raia.
Siku 4 zote Polisi wamekuwa kimya pasipo kutoa taarifa yoyote huku wakiendelea na mauaji ya halaiki mitaani, kwanini waibuke leo? Na wameposti taarifa yao kwenye mitandao ya kijamii huku wakijua wamezuia internet mbwa hawa🚮🚮🚮🚮
Kwa kifupi Samia hana future yoyote ile, iwe ni kwa Nguvu ya Umma, Divine Providence, or Military Coup. Hakuna kiongozi hapa bali takataka, absolute rubbish🚮🚮🚮