Kwa tunaofahamu, tuzo ya Sakho ni ya kimkakati

Kwa hiyo wakala aliyekuaa na uwezo wa kununua tuzo ni wakala wa Sakho pekee ?
Basi tumpe pongezi maana ana ubunifu.
 
Pongezi kwa mshabiki wa Simba kwa kumpigia kura za kutosha kijana na akashida japo goli la Gabadhino lilikuwa ni goli zuri zaidi kwa upande wangu ila nadhani kura hazikutosha
UTOPOLO MMGEMPIGIA KURA BASI HIVI NYIE MNA SHIDA GANI?MNAUFANYA MPIRA KUWA SEHEMU YA PROPAGANDA?
 
We kasichana utalipia gharama z matibabu ya mbavu zangu
 
gepu lipi mkuu? ?
hivi mwaka huu Yanga ikibeba kombe la Afrika si inafuta rekodi za miaka yote ya mahangaiko na taabu za Kolo fc kimataifa au?
 
Watu hawaamini

Hadi Azam katoka nje wao hela zote wamemlipa fulani
 
We kasichana utalipia gharama z matibabu ya mbavu zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuuuh na huku upooooo? Nawapiga spana utopoloooo. Nawachachua kidogooo.
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi 🤪🤪 MSOSA KAMA MSOSA TREBLE 🤪🤪 Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Kumbe wenetu wana treble yao?,[emoji23][emoji23]
 
Wakala wa Sakho ana mikakati sana. Alifanya mpango mpira umfikie Kapombe akapiga kross halafu wakala akawa amewanunua wachezaji wa berkane ili wampishe Sakho. Wakala akaenda mbali zaidi akambinua Sakho tik taka bila kutazama goli. Wakala akaenda mbali zaidi akawanunua washabiki wa Simba wakampigia kura Sakho.
Wakala alivyo na miakakati akampanga Mane na kocha wake mbele kabisa ampokee Sakho halafu akafanya mbinu Okocha ndio ampatie tuzo Sakho.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umeiweka kitalaamu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaaaa mnoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…