Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Wala hatukupiga keleleView attachment 2299860
Ko pimbi naye alishinda goli la mwaka eeh??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hatukupiga keleleView attachment 2299860
Hakuna hata watu wa nchi nyingine waliompa kura [emoji23]
Inajulikana kwamba mnakuwaga Baridiii.Wala hatukupiga keleleView attachment 2299860
UTOPOLO MMGEMPIGIA KURA BASI HIVI NYIE MNA SHIDA GANI?MNAUFANYA MPIRA KUWA SEHEMU YA PROPAGANDA?Pongezi kwa mshabiki wa Simba kwa kumpigia kura za kutosha kijana na akashida japo goli la Gabadhino lilikuwa ni goli zuri zaidi kwa upande wangu ila nadhani kura hazikutosha
We kasichana utalipia gharama z matibabu ya mbavu zanguHaya huyu hapa aliyestahili, kashapewa tuzo yake. Furahi sasa.
Shougaaaaah angu, kwan uteseke? Kwann uumie??
Kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.
Byuti byutii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2299595
gepu lipi mkuu? ?Punguza wendawazimu na chuki dhidi ya simba.
Daily unapuyanga utopolo wako juu ya simba na kutanabaisha mbele ya mabwana zako kuwa simba haina jema hata moja.
Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR.
Ifike hatua uamini na ukubali kuna gap kubwa kwa sasa kati ya utopolo na simba linapokuja suala la kimataifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuuuh na huku upooooo? Nawapiga spana utopoloooo. Nawachachua kidogooo.We kasichana utalipia gharama z matibabu ya mbavu zangu
Kumbe wenetu wana treble yao?,[emoji23][emoji23][emoji599] KUTOKA KWA BUGATI
Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni
[emoji117]Mpole Cup
[emoji117]Sopu Cup
[emoji117]Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.
Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi [emoji2957][emoji2957] MSOSA KAMA MSOSA TREBLE [emoji2957][emoji2957] Byuti Byuti [emoji471][emoji471][emoji471]
Eeeeh! So ndio hii wanayoita MSOSA TREBLEKumbe wenetu wana treble yao?,[emoji23][emoji23]
Wakala wa Sakho ana mikakati sana. Alifanya mpango mpira umfikie Kapombe akapiga kross halafu wakala akawa amewanunua wachezaji wa berkane ili wampishe Sakho. Wakala akaenda mbali zaidi akambinua Sakho tik taka bila kutazama goli. Wakala akaenda mbali zaidi akawanunua washabiki wa Simba wakampigia kura Sakho.Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.
Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.
Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.
Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.
Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakala wa Sakho ana mikakati sana. Alifanya mpango mpira umfikie Kapombe akapiga kross halafu wakala akawa amewanunua wachezaji wa berkane ili wampishe Sakho. Wakala akaenda mbali zaidi akambinua Sakho tik taka bila kutazama goli. Wakala akaenda mbali zaidi akawanunua washabiki wa Simba wakampigia kura Sakho.
Wakala alivyo na miakakati akampanga Mane na kocha wake mbele kabisa ampokee Sakho halafu akafanya mbinu Okocha ndio ampatie tuzo Sakho.
Mleta mada kazingua sana. Kwamba wakala wa mchezaji anaweza kuihonga CAF?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeiweka kitalaamu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaaaa mnoooo.Wakala wa Sakho ana mikakati sana. Alifanya mpango mpira umfikie Kapombe akapiga kross halafu wakala akawa amewanunua wachezaji wa berkane ili wampishe Sakho. Wakala akaenda mbali zaidi akambinua Sakho tik taka bila kutazama goli. Wakala akaenda mbali zaidi akawanunua washabiki wa Simba wakampigia kura Sakho.
Wakala alivyo na miakakati akampanga Mane na kocha wake mbele kabisa ampokee Sakho halafu akafanya mbinu Okocha ndio ampatie tuzo Sakho.