Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Habari za weekend wakuu.

Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda.

Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana na izo mali za Ulaya, Asia na Mmarekani sijui. Zinavutia ila zinahitaji running cost kubwa sana.

If a luxury car is too cheap, you’re not buying a bargain, you’re buying someone else’s headache.

Jiulize kwanini used German cars ni cheaper kuliko IST.
 
Mke wa kwanza mlisemaaa hanifai kwa dinii sasa karunde vipiii ooooh

mke wa kijijini oooh anasumbua kuliko Range rover za singerpore
Zina number plate ndefu hivi, damn gari mbovu zile na zina 30k odo
 
Mkuu vipi Kwa Volvo XC-60 T5.....Hii gari naitamani Sana , mwakani MUNGU akibariki nitaingia kwenye hiyo gari
 
Kikubwa wote watakuua, mke atakuua kwa Ukimwi, gari litakuua kwa ajali..!! 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…