Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakubali
 
Hujakutana na hizi namba [emoji3][emoji3] AVA, BAX, ATH za Asante Rabi au AQK, AQN, BVA, etc za KILIMANJARO EXPRESS[emoji3]

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
hizo namba ni hatari sana. hata wahudumu huwa rude sana na wenye hasira zisizoeleweka kuanzia mkatisha tiketi hadi dereve. Na mara nyingi huwa zinakuwa na makonda zaidi ya wawili, unadhani wanathibiti mapato kumbe wengine ni mafundi. Unakuta pale mbele kwenye bonet wamekaa au wamelala. Na wamepanga mikate na maji kibao mbele maana hawana uhakika kama watafika siku hiyo hiyo.

Wakifika chalinze wananunua chipsi, wakifika msola wananunua mihogo, kila mahali lazima wanunue chakula. Ukiona hivyo, anza kumuomba Mungu.
 
Mambo mawili tu
1.sikai siti ya mbele upande wa kushoto wa dereva(wataalam hatukaagi pale )
2.Sikai siti yoyote ya dirishani ntakupisha ukae wewe najua utafurahi kwakua unapenda kumiliki dirisha.
Makini sana, Tunaoelewa wachache sana hii kitu chief.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ila nilizokutajia hakuna spana mkononi hata moja, gari nadhifu, wahudumu caring, yaan n kama namba E

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Nikipata [emoji575] na huduma ya kuchaji simu basi ! mengine kwangu sio kipaumbele.
 
Hilo la bila mziki hilo nalitaka nijaribu [emoji3]

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Nilipanda siku moja
Yaani unasikia muungurumo wa bus tu na dereva anavyopangua gear
Hata mazungumzo na jirani mnaongea safi

Bila mziki ina raha yake kwani humu wamo wanaoenda msibani kuna wagonjwa Sasa makelele ya nini
 
Liwe na TV maana bongo movie zangu zoote naangaliga kwenye mabasi.
 
Napenda sana kupanda Shabiby za Dom ila kinachonikera ni kuweka movie za mkojani tu, nakereka sana
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Bahati mbaya luxury nyingi dereva katengwa na abiria,nikiona sioni mbele sipandi kabisa yaani mnakuwa kama mko kwenye chai maharage!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…