Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Hiyo kauli wewe ndo unaielewa vibaya,Ile kauli ya Mzee Baba kuwa “nimechoka kuapisha” imemkata kilimilimi Mzee wetu Pascal Mayalla, siku hizi kasusia kuporomosha mapambio humu... wewe komaa tu.
MaDC na maRC chapeni kazi.
Alisema kwa wale watakao staafu na wale wazembe wataondolewa,
Kwa maana hiyo atawaapisha wengine na kama nafasi ya mayala ipo basi atapata tu kwani shida iko wapi?
Tunataka watu wanaodhani kuna haja ya wao.kutumikia nchi hii kwa uzalendo.