Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwamba watapata huruma baada ya kuua, kuwa sasa hebu tutende haki?Suluhisho la kudumu lingepatikana lazima wanafanya reforms tu ikiwemo kurudia uchaguzi
Hakuna nchi itakayoruhusu protesters dhidi ya serikali haipo.Hivi hivi bila hata kubeba Silaha bado wanakuchukulia kuwa ni unlawful combatant, wanakupiga risasi ndiyo maana raia hawaandamani!. Yaani serikali inawatangazia vita wananchi wske yenyewe!
Maandamano yangewasababishia loss kubwa zaidi wao kuliko hata wananchi wangeitisha reforms tu.Kwamba watapata huruma baada ya kuua, kuwa sasa hebu tutende haki?
Kitu pekee kibachoweza kuwafanya watumie akili ni lose-lose situation, kwamba waone nao kuna kitu cha kupoteza, Nje ya hapo usitegemee wawe na huruma au busara ambayo hswakuwa nayo in the first place!
Hilo ndiyo tatizo tusisingizie vitisho vya polisiUjinga na uoga umetamalaki
Umewahi kuona nchi zilizostaarabika askari wanatangaza kabla ya maandamano kuwaambia waandamanaji waandike usia kabisa kabla ya kuandamana? - Ni dhahiri jeshi la Polisi la bongo linaonyesha dhamira ya mapema ya kuua raia sababu tu ya wao kutaka kutumia haki yao ya kikatiba kuonyesha hisia zao za kisiasa. Raia wanaogopa kuuliwa ndiyo maana hawaandamani, na huwezi jua wako tayari kuua raia wangapi, huenda wako tayari kuua hata raia 100000Hakuna nchi itakayoruhusu protesters dhidi ya serikali haipo.
Kinachotakiwa ni wananchi kutoka kuandamana whatever the risk.
Kama wananchi wangetoka kwa wingi lazima wangetangaza reforms tu
Kumbe mnatambua watu wameuwawa zanzibar na vyombo vya dola kwa amri ya Magufuli eeh?
Zanzibar nao ni wapuuzi,wanakubalije kila uchaguzi askari wanatoka bara kwenda kuua ndugu zao?Kwanini wasijisimamie wenyewe?
Hii ya kwetu haijastaarabika wananchi ndiyo tunapaswa kuilazimisha istaarabikeUmewahi kuona nchi zilizostaarabika askari wanatangaza kabla ya maandamano kuwaambia waandamanaji waandike usia kabisa kabla ya kuandamana? - Ni dhahiri jeshi la Polisi la bongo linaonyesha dhamira ya mapema ya kuua raia sababu tu ya wao kutaka kutumia haki yao ya kikatiba kuonyesha hisia zao za kisiasa. Raia wanaogopa kuuliwa ndiyo maana hawaandamani, na huwezi jua wako tayari kuua raia wangapi, huenda wako tayari kuua hata raia 100000
Ina maana hujaona tu nchi ambazo raia wanaandamana kupinga sera za serikali na polisi wanalinda amani tu badala ya kuwapiga watu risasi?Hakuna nchi itakayoruhusu protesters dhidi ya serikali haipo.
Kinachotakiwa ni wananchi kutoka kuandamana whatever the risk.
Kama wananchi wangetoka kwa wingi lazima wangetangaza reforms tu
Hivi unajua hata Kenya wamestaarabika baada ya demos za 2007?Umewahi kuona nchi zilizostaarabika askari wanatangaza kabla ya maandamano kuwaambia waandamanaji waandike usia kabisa kabla ya kuandamana? - Ni dhahiri jeshi la Polisi la bongo linaonyesha dhamira ya mapema ya kuua raia sababu tu ya wao kutaka kutumia haki yao ya kikatiba kuonyesha hisia zao za kisiasa. Raia wanaogopa kuuliwa ndiyo maana hawaandamani, na huwezi jua wako tayari kuua raia wangapi, huenda wako tayari kuua hata raia 100000
Utawafanya wastaarabike kwa kupeleka miili yako mbele waipige risasi?Hii ya kwetu haijastaarabika wananchi ndiyo tunapaswa kuilazimisha istaarabike
So what is the way forward?Utawafanya wastaarabike kwa kupeleka miili yako mbele waipige risasi?
Hao ni kama mashetani wameshajikinai, wako tayari kwa loote kulinda maslahi yao ya kisiasa
Wakenya hawakufanikiwa kwa sababu ya demos peke yake, walifanikiwa kwa sababu walikuwa na viongozi wenye akili waliotambua hitajio la wananchi!Hivi unajua hata Kenya wamestaarabika baada ya demos za 2007?
Unadhani wapinzani walipaswa kufanya nini?Suala la tume huru wamepiga kelele bila mafanikio!Au ulitaka wawashawishi watu waandamane?Au ulitaka wasusie uchaguzi kama ilivyokuwa kipindi cha Jecha?Hayo yote hayakufanyika,uhalali wa kuvunja watu miguu,kuwabaka na wengine kuuwawa unatoka wapi?Nadhani ifike kipindi zanzibar wakatae hawa askari wanaopelekwa wakati wa uchaguzi!Naamini kabisa ingekuwa ni askari wa Zanzibar wangekuwa na utu na ndugu zao,wasingethubutu kuwauwa au kuwatesa kwa kiwango hicho!Naomba nikurekebishe jambo moja, mie natoa maoni yangu binafsi, usiniwekee upande tafadhali.
Nnachohoji, upinzani walijua lini kwamba sheria imerekebishwa kuruhusu kura kupigwa siku mbili Zsnzibar? Ikiwa sheria ilipita 2018, walichukua hatua gani tokea wakati huo?
Wanasubiri uchaguzi umefika wawaambie wananchi wakapige kura siku mbili kinyume cha sheria matokeo yake watu wameachiwa ulemavu na vifo. Maalim hawezipigwa risasi au bomu, wanawaponza watu wenye uelewa mdogo wa mambo.
Walitakiwa waanze mapema mchakato wa kupinga hayo mabadiliko lwanza.
Sitetei kilichofanywa na kusababisha mauaji, tatizo langu ni namna hatua zinavyochukuliwa na wapinzani kukabiliana na changamoto zao.
Uchaguzi ukiisha na vyama navyo vinalala usingizi.
Kwani Pascal Mayalla alikuambia anautaka ukuu wa wilaya au mkoa? au hayo mawazo yako tu?Ile kauli ya Mzee Baba kuwa “nimechoka kuapisha” imemkata kilimilimi Mzee wetu Pascal Mayalla, siku hizi kasusia kuporomosha mapambio humu... wewe komaa tu.
MaDC na maRC chapeni kazi.
Naomba mje Sasa mtubishie tunaoujua upinzani tokea kitambo. Huu ndio upinzani tunaoujuaHakuna aliyemzuia huyo mmoja acha upotoshaji usio na maana. Msimamo wa chama ni kuwa uchaguzi ulikuwa wa umwagaji damu na wizi wa kura, hivyo kupeleka viti maalum ni kuhalalisha huo ukora. Na huo wizi na umwagaji wa damu tumeshuhudia kwa macho yetu. Sasa sijui unalazimisha nini viti maalum wapelekwe huko.
Bila kupuuza angalizo lako, hiyo mifano uliyotoa huko nyuma ni kweli, lakini siku za nyuma viongozi walikuwa wanaamua watakavyo na sisi wafuasi tulikuwa kimya. Ila kwa sasa viongozi wanapaswa kuamua kwa kufuata matakwa yetu sisi wafuasi wao.
Na iwapo watakwenda kushiriki hilo bunge kibogoyo, lililopatikana kwa umwagaji damu na wizi wa kura, ndio wasahau support yetu.
Wanaweza kuamua watakavyo lakini sisi wafuasi wao Misimamo yetu iko wazi. Ingekuwa bunge lenyewe lina meno hapo afadhali, sio hilo bunge kibogoyo.
Naomba mje Sasa mtubishie tunaoujua upinzani tokea kitambo. Huu ndio upinzani tunaoujua
Msimamo huu bado unao?