Kwa uamuzi huu sasa Urusi kumaliza vita kwa haraka

Hauna akili, Urusi anapigana na Ukraine kipindi hicho chote kisha apate jeuri ya kupigana na USA?

wengine hudai eti Ukrain anasaidiwa na washirika wa NATO kwani Urusi yeye hasaidiwi?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Tayari yuko vitani nae muda mrefu chini kwa chini mpaka Marekani ametangaza kuishiwa na silaha inabidi ipeleke Ukraine shehena ya mabomu haramu.
 
Hauna akili, Urusi anapigana na Ukraine kipindi hicho chote kisha apate jeuri ya kupigana na USA?

wengine hudai eti Ukrain anasaidiwa na washirika wa NATO kwani Urusi yeye hasaidiwi?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kati ya wewe na huyo ulomjibu ni nan hana akili jibu ni wewe maana baada ya kujibu hoja unamtukana hivi umelelewaje wewe!!!
 
Nchi ambayo prigo naye ni amiri jeshi mkuu. Seriously yani boss wa kiwango security atishie kwenda chamwino halafu aendelee kuishi 🤣🤣

Ndiyo ije ipambane na hawa
US Army
US marine
US Airforce
US Navy
US coast guard
Plus Navy SEAL (Team 6)

Ni huruma kwa kweli
 
Us imeishia kulaani vikali [emoji23][emoji23]
 
Mbona hiyo rahisi tu mzigo unasafirishwa na Ukraine ila meli inakuwa na bendera ya marekani au uturuki kwahiyo putin akishambulia meli anakuwa ameishambulia marekani au uturuki.
Pentagon Spokesman John Kirby made clear the US will not send warships to escort commercial vessels from Ukraine.

Following the recent decision to cancel the grain deal between Russia and Ukraine, U.S. has officially announced its decision not to use warships to escort commercial ships leaving Ukrainian ports. "We have only one way left - land. This involves the
 
Hao sijui akina us marine, wote walikimbizwa na wavaa kobazi plus majoho na mitandio kama wamamsai,aka watalabani. aahah hahaa haaa aaah aaahaaa
 
Minjingu sijajua mbolea zao wanauza wapi,maana sokoni tz haipo,sokoni ni can,sa,urea,npk na za proportion hizo kwa upande wa yara
Jibu zuri kabisa nimefurahi sana naona hapo bado baadhi hujaziweka kuna amidas/microp/premium na nyinginezo brother na zote tuna import
na kibaya zaidi tunauziwa mbolea ambazo zimekwisha pitwa na muda wa matumizi sasa turudi minjingu je unauelewa nayo?
 
Umeuliza swali lenye jibu humo humo sasa jiulize yale mashamba ilikuaje kuaje? hata kilimanjaro walikuwa wanalima kule west sasa fuatilia kwa kizazi chenye miaka 20 sasa je wanaujua hata mche wa mngano kule?
naona mbeya wanalima kidogo za mbegu pale uyole chuo cha kilimo.
Fursa kwa wafanyabiashara, si ndiyo? Kwa nini isiwe fursa kwa wakulima? Miaka ya nyuma tulikuwa tunasikia Arusha wanalima ngano, au?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi umufananisha sana vitendo vya John Kirby na Zelensky - wote waigizaji mahili.

Sina shaka John alisha pata taarifa za kiintetelijesia kwamba warusi wako dead serious kuhusuekelezaji wa suala hilo na infact meli zitakazo jitia kupeperusha bendera za US na lujifamya. wanakuja kubeba ngano ili waisaforishe duniani kumbe wanakuja wameficha silaha nakuondoka na ngano, sasa hilo Urusi imekwisha lishtukia sana - ndio maana Urusi imehamua kuzamisha meli. zote zitakazo peperusha bendera za Merikani zitazamishwa in the black sea by a forminable Russian coast Baston anti ship missillles including hypersonic missiles shoud a need arise, hata zikiwa maefu ya maili kutoka Russian coast zitazishwa tu

Kirby knows for certain kwamba this time around Russians are not bluffing, it shall be suicidal for US Navy and shipping agencies to try Putins patience at this point in time.
 
Mbona ndio Njaa zitazidi huku kwetu Sahara ya Kusini.

👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…