Mnajisemea tu, yaani mnafikiri Urusi inaiiogopa Merikani hata ikipuuza onyo lake na kupandisha bendera mshenzi za meli kukatisha Black Sea kwenda Odessa,, US ikikihuka onyo la Russia huondio utakuwa chazo cha WW3 ambacho wala Merikani haiwezi kushinda, itatandikwa kweli kweli na mataifa rafiki kuchangia,msifikiri Urusi haina marafiki wakubwa wenye uwezo mkubuwa kijeshi..
Tunaaema mata nyingi kwamba Urusi si banana Republic, sasa subilini muome kama Meli za Merikani zitajitia kupupelia amri ya Urusi kwa kupepelerusha bendera za Merikani eti zisiguswe na Urusi,zitazamishwa zote na Russian formidable anti ship missiles, Urusi kidogo anaweza kuzirihusu Meli za Uturuki lakini kwa hali ulivyo sasa hivi unaweza. kumuamini nani umuache nani,kama wajaja wanatumia hata meli za Uturuki kusafirisha silaha za kuvita kwa kificho wa kutumia kisingizio cha usafirishai wa ngano unafikiri Warusi wafanyeje kukomesha ujinga huu.
Warusi hawana utani hata kidogo - kama Merikani inataka taifa lake lichakazwe basi wajaribu kuichezea Urusi - Waerika wakifanya ujinga huo watajuta kuzaliwa, sisemi Urusi haiwezi kupata madhara lakini wao walisha wafundisha raia wao kwa miaka mingi sana jinsi ya kujikinga pamoja na ku-deal na thermonuclear war exchange wanaposikia mlio wa certain type ya vingora - sina uhakika kama Merikani hilo walisha lifikiria hata kidogo zaidi ya kuchimba maandaki ya kuwalinda viongozi wa Whitehouse tu na si raia, uanadamu huo hawana kabisa hata taifa lao likigeuzwa thermonuclear wasteland wao wana ona na sawa watu - vipngozi wao wataishi tu na ku-tell the tale the morning
after ie ni nuclear proof!!
Tofauti kabisa na Warusi ambao miaka nenda rudi walikuwa wanajenga under ground infrastructure za kuwalinda raia wake karibu wote dhidi ya thermonuclear missiles/bombs nchi nzima ina facilities kama hizo.