sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio ti watatuliza ghasia balo watapandisha hadho ya jeshi letu
Jeshi letu lipo fiti, tuliwazima Uganda, congo walituliza ghasia, visiwa flani (sio zanzibar) huko nako walituliza, Tuliwasaidia Mozambique kina Samora, n.k vitu kibao