Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

Mziki wetu uliowatimua Uganda unaujua??
Unafanya mzaha na jeshi la Islaeli? Wale wako mbali mkuu. Soma Vita yao Ile ya siku sita: The Arab-Islael war 1967, utajua wale jamaa ni balaa usilinganishe na majeshi ya kiafrika.
 
Mhhh mkuu watafanywa jivu wakitokea airport ya Dar wanabonyeza kitufe kimoja tu. hapohapo wanamaliza mchezo wale wanacheza na sayansi baba Israel ni muziki mwingine hujiulizi na kushangaa kitaifa kidogo eneo dogo watu wenyewe kidogo ila ni undefeated.... Kama si Mungu ni nani?
 
miili mtaipatia wapi
labda wakusanye mifupa
Washindwe kulinda madin yanayoibiwa ukuta wa mererani, waende israel kulinda amani? Tutarudisha miili ndugu zetu kwenye majeneza.
 
Wewe unawaona wanavyopasua matofali kwa mikono siku ya kuadhimisha uhuru wa Tanganyika unafikiri kule wanaweza?
 
Wampeleke afande muroto akawaoneshe nini maana ya kipigo cha mbwa koko + kupata taabu sana
 
Una uwezo mdogo sana wa kuijua dunia, mdogo sana, it seems hata hujui kabisa nchi za dunia hii, military powers, economic powers, technological & political pwrs.. Hujui kabisa.
Hivi kweli mmeshindwa kuelewa logic ya hii thread?,hio ni kama kejeli kwa jeshi letu
 
Mtoa mada inaonekana unajua fika nini kitatokea, ila unajitoa fahamu tu au unataka kuifahamu maana ya ile kauli "kipigo cha mbwa koko" kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom