sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mmh wanajeshi hawa wa kibongo waende israel mkuu? Subutu ule mziki mwengine mkuu wangu waache wapambane wenyeweIsrael n aPalestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio ti watatuliza ghasia balo watapandisha hadho ya jesho letu
Mziki wetu uliowatimua Uganda unaujua??Mmh wanajeshi hawa wa kibongo waende israel mkuu? Subutu ule mziki mwengine mkuu wangu waache wapambane wenyewe
Mziki wetu uliowatimua Uganda unaujua??
Yaani hawa jamaa ndo wanasababisha kina Sabaya wanateuliwa kuwa wakuu wa Wilaya...Aisee, nimesoma nimecheka kwa sauti. Mpaka sasa hivi nacheka yani, sijui umewaza nini mkuu 😂😂😂😂😂😂
Aise wapalesitina peke yao wacha wa-Israel watawapiga wanajeshi wako kama kukuMziki wetu uliowatimua Uganda unaujua??
Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio ti watatuliza ghasia balo watapandisha hadho ya jeshi letu
Jeshi letu lipo fiti, tuliwazima Uganda, congo walituliza ghasia, visiwa flani (sio zanzibar) huko nako walituliza, Tuliwasaidia Mozambique kina Samora, n.k vitu kibao
View attachment 1783804