Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

Jeshi la Israel la kawaida sana.
Kumbuka wspalestina hawana jeshi lkn wanapigana na jeshi la Israel lenye vifaa sophisticated halafu Wana misaada mingi tu toka magharibi lkn wanatolewa makamasi na wspalestina.
Imagine wspalestina wangekua na nchi na jeshi halafu wakapigana Israel isingeonekana kwenye uso wa dunia
 
Islaeli mziki mwingi nakumbuka miaka ya elfumbili walikuja Kenya kumkamata gaidi pale Nairobi walimkamata nawakamsafilisha kwanjia yaanga bilaataserikari yakenya kujua ikabidi waziriwa ulinziwakenya akajiuzulu
 
Wataishia kuolewa kule .
Mziki wa Mpalestina wote hao wanajeshi wako watapelekwa eda.
Akiingia Muisrael anawapeleka eda wote wawili,
Wanajeshi wako na Wapalestina wataambiwa walale bila chupi.
Wabaki tu hapo kupiga vichwa matofali,
Kule mziki ukianza umeanza no bullshit.
Ndo mana Israel anachapa tu maana wanajihami.
Palestina wako juu milimani,wakilianzisha ukiwa lelemama umekwisha,Ndo mana Jamaa anawapandia huko huko kuwachapa.
 
Tanzania tuna askar makini????
 
Kabla hatujaenda mbali naomba mleta uzi aniambie askari wangapibwa JWTZ walirudi hai baada ya vita ya BIAFRA kule NIGERIA.
Mawazo na ushauri wake akiwapelekea wasabato wanaweza kuja na solution nzuri zaidi.
 
Dogo vurugu ya huko siyo ya Machinga ujue!
 
Atatupa furushi hilo.
 
Tatizo mnaamini jeshi lenu ni kila kitu eeeee!!!! Nikuhakikishie hawajakutani na vidume aisee mnafikiri kule kuna wapinzani mliozoea kuwaonea!??
 
Kuna mossad na kidon ni binadamu hatari usiwafananishe na vitu vya ajabu
 
Hawawzi, ukitaka kujua hawawezi fikiria Entebbe Raid wanajeshi wetu wangeweza? vita vya wale ni vya kidigitali na wanajeshi wetu hawajasoma
Hawezi elewa vitu kama hivyo mjinga huyo akili imejaa nyimbo za singeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ