Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi Israel wanapigana vita na Wapalestina au wanatuliza ghasia za Wapalestina?🤣🤣🤣Jeshi la Israel la kawaida sana.
Kumbuka wspalestina hawana jeshi lkn wanapigana na jeshi la Israel lenye vifaa sophisticated halafu Wana misaada mingi tu toka magharibi lkn wanatolewa makamasi na wspalestina.
Imagine wspalestina wangekua na nchi na jeshi halafu wakapigana Israel isingeonekana kwenye uso wa dunia
Watu wa ajabu sana, wanadhani askari wa Israel ni wababaishaji wanasahau hata baadhi yaaskari wa hapa wamesoma Israel, vinginevyo waisrael wangekuja kusoma hapa ingekuwa na mantiki JW kwenda kuwaongezea maarifa, usishangae JW wakienda kule hawataweza kutumia hata silaha moja kule maana teknolojia ya Israel imeadvance vibaya mnoMmh wanajeshi hawa wa kibongo waende israel mkuu? Subutu ule mziki mwengine mkuu wangu waache wapambane wenyewe
Jwtz wapi hao unaowazungumzia, ni hawa mabishoo tunaoishi nao Kawe,ambao wanavaa kata K,na kututambia mtaani,hawa vijana hawana kitu,nguvu zao wakiwa wengi,akiwa mmoja hata vibaka mateja wa Kawe wanamshughurikia vzr.Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio ti watatuliza ghasia balo watapandisha hadho ya jeshi letu
Jeshi letu lipo fiti, tuliwazima Uganda, congo walituliza ghasia, visiwa flani (sio zanzibar) huko nako walituliza, Tuliwasaidia Mozambique kina Samora, n.k vitu kibao
View attachment 1783804
Sio mchezo kwa kweli.Yaani hawa jamaa ndo wanasababisha kina Sabaya wanateuliwa kuwa wakuu wa Wilaya...
Hizi shule siku hizi wanaenda kujifunza ujinga
Mbona 1967 waliungana waarabu wote wakapata kichapoJeshi la Israel la kawaida sana.
Kumbuka wspalestina hawana jeshi lkn wanapigana na jeshi la Israel lenye vifaa sophisticated halafu Wana misaada mingi tu toka magharibi lkn wanatolewa makamasi na wspalestina.
Imagine wspalestina wangekua na nchi na jeshi halafu wakapigana Israel isingeonekana kwenye uso wa dunia
Bila kupepesa macho ndio tuna Askari makini.Tanzania tuna askar makini????
Koma 😂😂, Nani abanikwe mzimaHao watu wanajiweza kwenye mbinu za kijeshi na kitechnology pia kiuchumi.
Na mpaka sasa bila shaka wanarushiana tu makombora sasa hao wanajeshi waende kumpiga nani?
Hao jamaa wote wana vifaa vya kupangua makombora pia hiyo vita haituhusu Tanzania kivyovyote na hao Whites.
Kitakachotokea ni kukugeuzia kibao alafu waanze kutuma hizo IBM huku dar then watubanike wazima.
Considering Tanzania hakuna missile defence system.
Ni kweli la kawaida,lakini wapalestina wakiua wa Israel wawili wao watalipiza kisasi na kuua 50Jeshi la Israel la kawaida sana.
Kumbuka wspalestina hawana jeshi lkn wanapigana na jeshi la Israel lenye vifaa sophisticated halafu Wana misaada mingi tu toka magharibi lkn wanatolewa makamasi na wspalestina.
Imagine wspalestina wangekua na nchi na jeshi halafu wakapigana Israel isingeonekana kwenye uso wa dunia
Mkuu hebu kaa kimya, usiombee kabisa vita ya kigaidi, hata mmarekani mwenyewe anajua mziki wakeBila kupepesa macho ndio tuna Askari makini.
Hebu angalia hali ya kiusalama kwa majirani zetu Kenya na Al-Shabaab, Msumbiji na ISIS, Rwanda na M23 na tazama hali yetu... Kwanini tusiseme tuna Askari makini?
Mchakato wa 'Power Transformation' baada ya kifo cha Hayati J.J.P. Magufuli kwenda kwa Mama SSH amani ilitawala watu wakakabidhiana madaraka kikatiba na hali ni shwari. Kwanini nisite kusema tuna Askari makini?
Soma vizuri, hakuna mahali nimeomba vita na magaidi.Mkuu hebu kaa kimya, usiombee kabisa vita ya kigaidi, hata mmarekani mwenyewe anajua mziki wake
Akikujibu naomba unitag....Mbona 1967 waliungana waarabu wote wakapata kichapo