Uchaguzi 2020 Kwa uelewa wake, Lissu anaamini kabisa kuwa atakuwa Rais wa Tanzania

Lazima CCM mtage mwaka huu!! Huyo ndo mteule wa Mungu Tundu Antiphas Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!
Lissu ni Mteule wa mabeberu siyo mungu. Uteule wa mungu tumeshauona miaka 5 iliyopita na sasa tunaelekea miaka 5 mingine ya baraka na ukuu wa mungu kupitia JPM.
 
Nilisikia sauti kutoka kwenye umati wa watu Sumbawanga na Kigoma wakati Lissu alipouliza kama nani watamchagua kuwa Rais, ikidai Magufuli sasa sielewi walikuwa wanamaanisha nini?
Magufuli ndo rais ,lissu aache kujifariji kwa kitu kisicho wezekana
 
Siku CCM ikiondoka madarakani Tanzania itakuwa nchi salama ya kuishi. Wamekuwa mamafia kwa muda mrefu sana hawa watu
Sio Leo wala kesho ,yaweza kuwa ni miaka 2000 ijayo
 
Lissu amekuwa akipinga maendeleo ya vitu lakini majuzi nadhani akiwa huko Tunduma alisema atawajengea barabara na wafuasi wake mataahira wakamshangilia, nikajiuliza, imekuwaje tena anaangalia maendeleo ya vitu badala ya maendeleo ya watu? Maana amekuwa akipinga hata ujenzi wa barabara na kumkejeli Rais kipenzi cha Watanzania kwamba atapigiwa kura na mabarabara. Kwa kweli Lissu sijawahi kumuelewa maana anatamka kile kitakachowafurahisha mashonga wenzie huko ng'ambo na si kwa ajili ya watanzania
 
Wewe ni mnufaika wa utawala wa udhalimu utawala wa uonevu uovu kuwabambikia kesi wapinzani huwezi kuwa na imani kuwa wapinzani wataingia ikulu lazima uwaze kuwa CCM ipo milele
Unaifanya nchi nzima kuwa ni CCM na wapinzani. Yaani wewe unaamini kama siyo CCM basi ni upinzani na ukweli unaamini upinzani ni CHADEMA, just say it! Kuna watu hatuhitaji CCM, CHADEMA, CUF, TLP, etc. Siyo lazima kuwa mpinzani.

Kama hali hairuhusu achana na upinzani. Hukuzaliwa uhangaike na siasa. Mbona tunalima maharage yakigoma tunaanza ufugaji? Kama wanafungwa waache wafungwe tu wamependa wenyewe kama mimi nifugae nguruwe kwa kupenda.
 
Lissu awezi kuwa Rais,anachofanya ni kukamilisha tu ratiba ili na yeye aonekane ameshiriki kugombea Urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Sasa unawania vipi kiti bila kuwa na imani ya kukipata?
 
Kumwelewa Tundu Lisu ubongo wako lazima uwe na GB na sio kama huo wako MB 0.5
Eti ubogo GB, sasa huyo lissu wenu nakutana na Magufuli mwenye ubongo TB,atabata tabu sana

Huyu tutamwadhibu Oct 28 ili arudi akasemelee kwa mabwana zake
 
Sasa unawania vipi kiti bila kuwa na imani ya kukipata?
Lissu ana andaa wasifu,pindi akifa lazima waseme kuwa amewahi kugombea urais kwa jamuhuri ya Tanzania na kupata asilimia 15.
 
We kwa ulewa wako udhani hawezi kuwa Rais , hizo ni propaganda dhaifu mno, kajifunze upya.
 
Hapa hatutafuti ufahamu we kibwengu ni kura za wananchi acha upoyoyo
 
We kwa ulewa wako udhani hawezi kuwa Rais , hizo ni propaganda dhaifu mno, kajifunze upya.
Hawezi kuwa rais kamwe,amini maneno yangu,labda kama anatengeneza wasifu hapo sawa
 
Ona hapa na sikiliza wewe ujambazi wa unayetaka kumrudisha ikulu!
Dola milioni 391 ni shilingi ngapi vile!? inabidi mafaili yaliyo vote 20 yafutwe/yachomwe kwa sababu Hapa kazi kumbe ni Hapa wizi tu

Mtu anaweka youtube maelezo kwa kichaga, na kumsifu Lissu wa CHADEMA ya wachaga halafu unaleta tukubaliane naye? Mutahangika sana kutaka kutawala nchi kwa kuungwa mkono kikabila, lakini mutafeli. Population yenu haiwawezeshi kutawala nchi!
 
Mtu anaweka youtube maelezo kwa kichaga, na kumsifu Lissu wa CHADEMA ya wachaga halafu unaleta tukubaliane naye? Mutahangika sana kutaka kutawala nchi kwa kuungwa mkono kikabila, lakini mutafeli. Population yenu haiwawezeshi kutawala nchi!
Mbona huzumzii kisukuma, acha hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…