Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaowaongelea wengine utadhani wewe una tiketi ya kuishi milele,tulia huu ni utawala wa CCM na CHADEMA tutaaza kuwafikiria kuiongoza hii nchi baada ya vizazi vitano kuanzia mtoto atakayezaliwa mwaka 2100Hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, chiluba, mabutu, Abacha, Elbashiri, Iddy Amin Dada wapo wapi sasa?
Wewe mwenyewe pumba Akili huna inashangaza hujajijua kuwa huna Akili timamu pengine Bangi zimekuzidi kichwaniMimi huenda nabishana na mtu mwenye matatizo ya akili si kwa pumba kama hizi mkuu
hata lowassa walikuwaga wanasema hivyo piaTarehe 28 tunaweka tiki kwa Lissu!
Mwaka 2015 watanzania hawakuwa na mateso wanayopata sasa mwaka 2020 watumishi wa umma wana miaka mitano pasipo nyongeza ya mshahara, kuna uonevu unyanyasaji mwingi kubambikiwa kesi, na ubaya kibaohata lowassa walikuwaga wanasema hivyo pia
siyo kweli yaani watanzania sijui mnataka mfanyiwe nini mbona maishaa yamekuwa rahisisana kipindi hiki kulikoawali tatizo mnataka hela bila kufanya kaziMwaka 2015 watanzania hawakuwa na mateso wanayopata sasa mwaka 2020 watumishi wa umma wana miaka mitano pasipo nyongeza ya mshahara, kuna uonevu unyanyasaji mwingi kubambikiwa kesi, na ubaya kibao
yaani wewe ni mweupe sanaWakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna nilichokiambulia tofauti na kusikia habari za risasi kumi na sita kiunoni na mbaya zaidi kampeni nzima unakuta imetawaliwa na neno CCM na Magufuli utadhani kuna vyama viwili tu vinavyoshindana kwenye uchaguzi huu.
Kinacho nifanya niamini kuwa Lissu anapoteza muda wake na itamuwia ngumu kwa chama chake kupata japo wabunge watano ni juu ya tabia yake ya kupinga na kudharau kila kitu kilichofanywa na serikali ya CCM ya awamu ya tano na hivyo kupelekea kukosa muda wa kuinadi ilani ya CHADEMA.
Ikumbukwe kuwa kudharau juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano kumekuwa kukiwakera sana wapiga kura na wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa huyu bwana (Lissu ) ajikite kwenye kumwaga sela na ilani ya chama chake.
Mwisho lissu atambue kuwa watanzania wengi wameshamshitukia kuwa kuna nguvu nyuma yake ambayo haina nia njema na taifa la Tanzania pamoja na raslimali zake hivyo kumpa kura Lissu ni kuikabidhi Tanzania na raslimali zake mikononi kwa Mabeberu na baadae kupelekea machafuko katika nchi yetu.
Watumishi wanafanya kazi Mbona hizo hela za nyongeza hawazioni?siyo kweli yaani watanzania sijui mnataka mfanyiwe nini mbona maishaa yamekuwa rahisisana kipindi hiki kulikoawali tatizo mnataka hela bila kufanya kazi
hakuna kitu kikubwa kama kudhibiti mifumuko ya hovyo ya bidhaa hiyo inayoongezeka kwenye mshaharainakuwa inaishia kwenye ongezeko la bidhaa na haitosh bora kubaki na mshahara wa zamani kuliko nyongeza na mifumuko ya beiWatumishi wanafanya kazi Mbona hizo hela za nyongeza hawazioni?
Panic haishushi pressure utazidiwa ufe kwaniaba shauri yako. Ulimi nje na mnajua huyo TL kama hatoshinda sasa mnapanic nini ? Si mnyamaze kimya Kama sio upumbavu na ujinga nini kipya hapoWee mama nadhani ume vocalize ndo maana huelewi ni kipi uchangie
Mkuu hawa dawa yao ni kuwakutanisha kwenye mdahalo tu. Lazima Lissu atage mbele ya akili kubwa magufuli. Cdm tunataka mdahalo mleteni huyo Lissu kwenye mdahalo maguful amnyooshekatika wagombea wapuuzi huyu ni no 1,aliyempiga risasi hizo hajulikani labda hata ni wenzie huko huko kwake kwa kujifanya mjuaji namn hii leo.
Wanyturu wanasifika kwaa kuuza matogwa na uchafu mwingi sana kwa chakula huu ni uchafu. huyu tunaambiw ni mwanasheria ngunguli hajui hata sheria ya kumkosea heshima JPM hadharani ambaye bado ana miaka mi5 hewani iliyosajiliwa anamalizia kwa kuteleza tu,
huyu mgombea karata yake sijui Ubelgiji alikoenda matibabu miezi 12 tu anajifanya anajua kila kitu Ulaya nzima huku kuna wanasiasa wana miaka 30+ hawana story na Africa wala siasa zake washakata tamaa.
Mwacheni tu akimaliza hii porojo ataomba ten ukimbizi kwmba ni sias zinamuandama then apewe visa na familia yake. sidhani kama kuna kingine anataraji zaidi ya hicho,
Yaani wewe unaeongea huu utopolo na siku amani ya nchi hii ikipotea na lissu wako huyo ndo utaanza kutaga kabla ya wote,,Lazima CCM mtage mwaka huu!! Huyo ndo mteule wa Mungu Tundu Antiphas Lissu! Mtajua hamjui mwaka huu!
Kuongea na kuandika english siyo kwamba umeongea point,kama hii ni pumbaFrom Magufuli side I see a tyranny of numbers.
I don’t know who the Chadema propagandists are in social media platforms — but they are good. Damn good. They say money can buy anything, except love. I guess they are right.
But I have a feeling the good people of Tanzania will be celebrating in October. Magufuli is kilometers ahead in on the nation’s coveted prize.
Hiyo misaada magu anatoa wapi,wenzako wana ubongo kichwani ila wako umewekwa matakoniKwa hiyo kwa akili yako dhaifu Nyerere aliyewaita wazungu Mabeberu, kuwa ana akili ndogo?
Wewe Kalume kenge toka lini watu wakaa barabarani wakati msafara unapita?
Naisubiri kwa hamu ili niwe sehemu ya kumuadhibu huyu pimbi .Tunasubiri tarehe 28/10/2020 kwa hamu sana ili tumchinjie baharini msaliti Lissu ili arudi kwao Ubelgiji.
Naona eti ana walinzi, wamevaa miwani myeusi, hawacheki kuonesha wanalinda mtu maarufu! Wanaamini atakuwa rais. Akishangiliwa anadhani ni nyongeza ya kura.
Nikiwa mdogo nilikuwa na akili hii. Niliamini baba anaweza kumpiga kila mtu dunia hii.Raisi wako 2020 - 2025 ni Tundu Antiphas Lissu. Upende usipende