dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Leo nilikua naperuzi mitandaoni; to my surprise nikajua the mostly birth months huko Marekani ni July, August, na September.
That means, miezi watu wanajamiiana sana huko ni November and December and they study it seriously for planing. Huku bora liende tu!
Serikali ni lazima daily ijue ni watu wangapi wamejamiiana na matokeo yatakuaje how many babies to be born and when for future planning.
Dunia ya leo hatuwezi kujiendea tu kama mbuzi kwenye suala la uzazi!