Kwa ufaulu huu kidato 6, 2023. Bila upanuzi vyuo vikuu ni Div one tu wataingia vyuo vikuu

Leo nilikua naperuzi mitandaoni; to my surprise nikajua the mostly birth months huko Marekani ni July, August, na September.

That means, miezi watu wanajamiiana sana huko ni November and December and they study it seriously for planing. Huku bora liende tu!

Serikali ni lazima daily ijue ni watu wangapi wamejamiiana na matokeo yatakuaje how many babies to be born and when for future planning.

Dunia ya leo hatuwezi kujiendea tu kama mbuzi kwenye suala la uzazi!
 
Ila imenishangaza kusikia kuwa Hesabu imeongoza kwa ufaulu kidato cha sita au niseme masomo ya saiyansi ndio yameongoza. Nikawa najiuliza, ni ile ile mitihani ya PCB/M tulikuwa tunafanya sisi wahenga au kuna mabadiliko?
 
Sina uhakika ila nahisi form six pia kuna siasa za kupanua goli.
Mm baada ya kuona dogo anayeshinda kwenye madubu amepata div 2 ya pcm nikaamua kutafuta papers za mitihani hiyo.

Nikakuta kwamba mwaka huu mtihani wa physics F6, definition tu ilipewa marks 5. Halafu hesabu za kidato cha 3 na 4 zilikuwemo nyingi.
 
Mkuu sema kweli!? Ninaomba utuletee PDF ya hyo pper hapa ili turud na mengi zaid this is more than a scandal...!!
 
Udom course gani bado hazijajaza? Nenda course za Afya au Computer uone ilivyochallenge kupata nafasi hapo za degree
 
Mkuu sema kweli!? Ninaomba utuletee PDF ya hyo pper hapa ili turud na mengi zaid this is more than a scandal...!!
Nimesafiri kidogo mkuu nikirudi nitaziweka. Lkn kama kuna mwanaJF ana access atuwekee
 
Mm baada ya kuona dogo anayeshinda kwenye madubu amepata div 2 ya pcm nikaamua kutafuta papers za mitihani hiyo.

Nikakuta kwamba mwaka huu mtihani wa physics F6, definition tu ilipewa marks 5. Halafu hesabu za kidato cha 3 na 4 zilikuwemo nyingi.
Ndo maana, nilitaka nishangae. Yaani A za Physics kama uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…